Banki ya Dunia yatuanika: Tanzania tuna upungufu wa nguvukazi yenye elimu ya kuendesha uchumi

Ikiwa hatuna hata chuo kimoja ndani ya vyuo vikuu 1200 bora duniani unategemea nini? Wahitimu butu
 
Kikubwa ni kuwa hata tukiongeza hiyo educated workforce tenfolds bado tunahitaji kuwana mfumo mzuri wa kufanya maamuzi ya maendeleo. kwa mfumo wa sasa waamuzi wa mipango ya uchumi ni wanasiasa ambao qualification yao ni kujua kusoma na kuandika na ndivyo wanavyo behave.

Kwenye mipango ya maendeleo wanasiasa hu prioritize cheap and immediate political popularity na si maendeleo, mfano: mabaraza ya madiwani kubadilisha miradi ya maendeleo na ku divert fedha kwenda kwenye huduma, kubadili ardhi ment for mega economic purposes na kuwa makazi - mifano ipo morogoro na Arusha
siasa zinachangia kiasi chake..ila matatizo yetu ni zaidi ya siasa, attitude ya watu nimbovu sana
 
siasa zinachangia kiasi chake..ila matatizo yetu ni zaidi ya siasa, attitude ya watu nimbovu sana
Brilliantly argued ....lakini kumbuka hizo attitudes za watu kwetu zinakuwa shaped na politics....core issue ni kuingiza siasa katika kila jambo....so hata uwe msomi ulietukuka mwisho wa siku politics zitakumeza ....obviously tutakujudge kivingine kumbe kimsingi unatii hizo siasa.
 
Wamekosea hawa nao ! Mbona hawajasema tuna raisi mwenye upungufu wa hekima ?raisi gani anaonea raia mpaka hataki wazungu wamtafute Ben saa 8? Hatoi kauli yenyekuonyesha mamlaka juu ya mauji nchini kila mahali,mpaka maiti zinatoswa baharini na viroba kama taka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwa kiasi kikubwa sikubaliani na hiyo argument ya huyo mama. Kama tunatoa graduates 80,000 kwa mwaka na soko letu halina uwezo wa kuajiri hao 80,000 na kufanya malaki wabaki mtaani bila ajira, hauwezi kusema tuna upungufu. Kuna mapungufu kiasi kikubwa kwenye kujiamini kwa graduates wetu lakini wengi tu baada ya mwaka au mitatu wanakuwa as good as anyone in the sector
 
Hili wala halihitaji kulibishia. Kama mtu anashangilia kukamatwa kwa bombadia yenu ambayo ingemwezesha mama yako kuwahi matibabu Mhimbili ama KCMC kutoka Iringa na mtu mwenyewe anayeshangilia naye ana degree.
You are really great thinker

Umetumia lugha rahisi sana ili mazwazwa wa ufipa wakuelewe.
 
wb_tanzania_short_of_skilled_efficient_manpower_to_drive_the_economy_h6127_2f703.jpg


WB: ‘Tanzania short of skilled, efficient manpower to drive the economy’24 August 2017, 12:04
Bella Bird said new entrants to the Tanzania’s labour market, currently estimated at 800,000 a year, is projected to rise to 1.6 million in 2030.
Tanzania is short of skilled and efficient manpower to drive the economy, according to the World Bank.

These include the critical labour force needed to spearhead industrialisation and on-going efforts to enable the country attain the middle income economy status in 2025.

“A major constraint for Tanzania to achieve development is that it does not have sufficient workforce of skilled labour,” said World Bank’s country director Bella Bird.

She was speaking during the official launching of the $120 million (about Sh245 billion) Education and Skills for Productive Jobs Project (ESPJ) funded by the World Bank.

According to her, new entrants to the country’s labour market, currently estimated at 800,000 a year, is projected to rise to 1.6 million in 2030.

However, she argued productivity was low due to low skills and challenged the institutions of higher learning to train the critical mass of skilled manpower to drive the economy. She said while 84 per cent of the entire country’s population is low-skilled, about 40 per cent of the local firms identify lack of workforce skills as one of their key business constraints.

Attaining middle income status would require a transformation of the population’s current skill composition to 55 per cent low-skilled, 33 medium skilled and 12 per cent high skilled.

Ms Bird added that Tanzania also ranked poorly in the critical mass of educated people, especially the graduates, relative to its large population compared to other African countries.

Only about five per cent of the country’s population have gone through universities and allied higher education, with more fewer having specialized in science, technology and innovation.

The World Bank wants at least 20 per cent of Tanzania’s population to at least be graduates of the higher learning institutions to drive the economy by 2025.

WB_BUILDING_1.jpg


“Human development and skills are critical for industrialization,” she emphasized, calling for close collaboration between the government and the private sector in skills development.

ESPJ, which is being implemented by the ministry of Education, Science and Technology and Vocational Training, aims at strengthening the institutional capacity of the skills development system.

Its major focus will be in tourism and hospitality, agriculture, agro-business and agro-processing, transport and logistics, construction, information and communication technology and energy.

The executive director of the Tanzania Private Sector Foundation (TSPSF), Mr Godfrey Simbeye, called for further involvement of the private sector in identifying the suitable training for the current labour market demands.

simbeye.jpg


The ESPJ project was launched at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) on the outskirts of Arusha by the minister for Education, Science and Technology Prof. Joyce Ndalichako.

Also inaugurated were four centres of excellence in science, technology and innovation, two each at the Nelson Mandela University and the Sokoine University of Agriculture (SUA) in Morogoro.

Source: The Citizen

ndio maana michango inayoletwa humu JF ni ya hovyo hovyo tu, utafikiri ni kilabu cha wanzuki...
kumbe hatuna ELITES. Wasomi wetu ni Vilaza. halafu tunazaa vilaza wanaoenda kufundishwa na vilaza.
halafu hao vilaza wanakuja kujenga hoja za kisiasa humu JF, mwisho huishia matusi na kashifa
Wakiitwa Vilaza wanachukia kwelikweli, hususan kama anaewaita hivyo ni Rais wao.
Ajabu leo WB imetuita vilaza tunachekelea. Kweli sisi ni Vilaza, ndio, mbwa ni mbwa,lakini akiwa mbwa wa kizungu ni suala jingine. teh teh teh teh teh teh teh teh ........
unakuta mtu katunisha misuli eti anajenga hoja kumbe mbumbumbu mzungu wa reli
VILAZA OYEEEEEEEE
 
mleta mada naye ndio wale wale. heading na content ni vitu viwili tofauti.
 
Tunahitaji elimu bora sio bora elimu.
Boresha:
1.Communication Skills
2.Masomo ya English na Maths yapewe kipaumbale toke shule za msingi.
3.Vutia watu wenye weredi wasomee ualimu sio kurundika failures.
4.Azima school Inspectors wasimamie shule zetu kutoka Britain na Canada,kwa kipindi cha miaka 10
5.Technical school na technical colleges zipigwe jack.
 
Brilliantly argued ....lakini kumbuka hizo attitudes za watu kwetu zinakuwa shaped na politics....core issue ni kuingiza siasa katika kila jambo....so hata uwe msomi ulietukuka mwisho wa siku politics zitakumeza ....obviously tutakujudge kivingine kumbe kimsingi unatii hizo siasa.
kuna nchi zenye siasa mbovu au zilikua na siasa mbovu sana kulikonTanzania ila bado zikapiga maendeleo makubwa sana....
Nchi kama Uturuki rais anakamata anayejisikia, anafunga shule au benki kisa ameona ni ya watu wanaotofautiana nae kiitikadi..ila imepiga maendeleo makubwa, nchi kama Libya ilikuwa ina rais anayeua yoyote anaeyemkosoa, nchi kama China ina utawala mbovu wa ukandamizaji, Korea Kaskazini, Urusi ina siasa mbovu pia zilizojaa ubabe, syria, Misri zilikua na siasa za kukomoana pia...Ila nchi zoote hizi zina maendeleo makubwa kupita nchi ya Tanzania, kwa nini? Ni wananchi wake, wanasoma, wanapata utaalamu, wana apply utaalamu huo kufanya mapinduzi na kuleta maendeleo
Hata Marekani ilikua imejaa rushwa miaka ya 1900s kuliko hata Tanzania ya sasa, ila ugunduzi na mapinduzi kwenye nyanja mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika huko huwezi kulinganisha na Tanzania au nchi yoyote ya Sub Sahara
 
Professorial rubbish! Tanzanian problem is mismanagement! I'm not sure where this woman is coming from, but put her in a class of ten Tanzanian economists and see if she doesn't come out the last!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
Forex- there is a big difference between intelligence and skillful; coming first in class could be sign of intelligence, but knowing what and how to do a certain job is a sign of skill
 
We mkimbizi upo?
Hili wala halihitaji kulibishia. Kama mtu anashangilia kukamatwa kwa bombadia yenu ambayo ingemwezesha mama yako kuwahi matibabu Mhimbili ama KCMC kutoka Iringa na mtu mwenyewe anayeshangilia naye ana degree.
 
Sasa km nguvu kazi niakina lisusu ,,hao hao wanatuzunguka wanawasaidia wazungu ,,kwann wasituone mazuzu ?? Kwann wasiseme hatuna nguvu kazi ????.
 
Back
Top Bottom