Banki ya Dunia yaonyesha tamu chungu ya hali ya Tanzania | Umaskini unapungua ila maskini wanaongezeka

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,392
2,000
Nimeileta ilivyo na chanzo nimekiweka- kama Pontius Pilate

Tanzania has sustained relatively high economic growth over the last decade, averaging 6–7% a year. While the poverty rate in the country has declined, the absolute number of poor citizens has not because of the high population growth rate. The country's overall population is about 55 million (2016).

Political Context

In October 2015, John Pombe Magufuli was elected the fifth president of the United Republic of Tanzania. Magufuli’s Fifth-Phase Government has prioritized efforts to:-

 1. clampdown on corruption,
 2. improve public administration
 3. manage public resources for improved social outcomes.

A.The Mo Ibrahim Index of African Governance shows Tanzania has improved in its overall governance indicators between 2015-18.

B.The Worldwide Governance Indicators show Tanzania has either deteriorated or has been stagnant in all governance indicators between 2012 and 2017 (except for control of corruption). The strongest decline has been in:-

 1. voice and accountability,
 2. in political stability/violence and rule of law.

Tanzania will hold local government elections in November 2019, with presidential and parliamentary elections in October 2020.

Economic Overview

The Tanzania National Bureau of Statistics reports that real gross domestic product (GDP) growth was 7.0% in 2018, slightly higher than 6.8% in 2017.

However, official demand-side data, including data related to consumption, investment and net trade, suggest that growth softened in 2018. The softening of consumption growth is supported by Tanzania Revenue Authority data showing lower consumption tax collection, as well as tight controls on public consumption expenditures.

Investment growth remains positive but dampened as indicated by:- significant under-execution of public development plans,

 1. lower levels of FDI inflows
 2. improved but relatively low private sector credit growth.

The trade balance deteriorated in 2018, with exports contracting by 3.9% in gross value and imports increasing by 7.8%.

Real GDP growth is projected to remain in the range of 5-6% over the medium term, subject to:-

 1. favorable weather conditions,
 2. modest but steady implementation of reforms to improve the business environment,
 3. fiscal management,
 4. address vulnerabilities in the financial sector.

Inflation is expected to remain low, underpinned by:-

 1. favorable food supplies
 2. stable global energy prices.

The authorities target a modest overall fiscal deficit of 2.3% of GDP in 2019/20, which will expand to 3-4% of GDP over the medium term. The planned deficit will be financed largely by non-concessional loans. The current account deficit is expected to widen (6-7% of GDP) largely due increased imports of capital goods to support public infrastructure projects.

Social Context

Despite efforts between 2007 and 2016 that have reduced the country’s poverty rate from 34.4% to 26.8%, the absolute number of poor people has held at about 13 million due to high population growth. The most recent poverty measures based on the Household Budget Survey of 2017/18 are still being processed, but it seems likely that the downward trend in the poverty rate continues but has become more gradual. Government efforts to expand access to social services like education, health, and water have been undermined by their declining quality as the population rises faster than the supply of the services.

Last Updated: Sep 30, 2019

Source: Overview
 
leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,255
2,000
Umasikini umepungua ila maskini wameongezeka,
Embu wana uchumi mtufafanulie hapo.
Watu tunafyatua matofari kwa spidi kuliko ukuaji wa uchumi!
any way jitihada zote za kupunguza ufyatuaji alizikataa akasema tufyatue tu hela zipo. Sera ya uzazi wa mpango ikafa watu tukaanza kufyatua so unaona hill ongezeko?
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,059
2,000
A.The Mo Ibrahim Index of African Governance shows Tanzania has improved in its overall governance indicators between 2015-18.

B.The Worldwide Governance Indicators show Tanzania has either deteriorated or has been stagnant in all governance indicators between 2012 and 2017 (except for control of corruption). The strongest decline has been in:-

 1. voice and accountability,
 2. in political stability/violence and rule of law.
Kwenye haya ndiyo serikali ya awamu ya 5 inafanya vibaya na bado wana safari ndefu. Bahati mbaya hili lisiposhughulikiwa kuna uwezekano wa hata huko anakofanya vizuri kuharibika ama chini ya awamu hii au akiingia mwendawazimu awamu ya 6.
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,392
2,000
Kwenye haya ndiyo serikali ya awamu ya 5 inafanya vibaya na bado wana safari ndefu. Bahati mbaya hili lisiposhughulikiwa kuna uwezekano wa hata huko anakofanya vizuri kuharibika ama chini ya awamu hii au akiingia mwendawazimu awamu ya 6.
Masiya, kumbe mambo haya yalianza 2012
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,618
2,000
Umasikini umepungua ila maskini wameongezeka,
Embu wana uchumi mtufafanulie hapo.

Social Context

Despite efforts between 2007 and 2016 that have reduced the country’s poverty rate from 34.4% to 26.8%, the absolute number of poor people has held at about 13 million due to high population growth. The most recent poverty measures based on the Household Budget Survey of 2017/18 are still being processed, but it seems likely that the downward trend in the poverty rate continues but has become more gradual. Government efforts to expand access to social services like education, health, and water have been undermined by their declining quality as the population rises faster than the supply of the services.

Mimi siyo mwana uchumi. Lakini kinachoelezwa hapa ni kwamba juhudi za Serikali kuwafanya watu wapate huduma za msingi kama Elimu,Afya,Maji vinazidi kupungua kwa UBORA maana huduma haziendani sawa na ongezeko la watu. Ongezeko la watu linakwenda kasi kuliko huduma zinatolewa na Magufuli.

Huu ni ukweli unaoonekana hata kwenye ziara za Rais tunaona akikumbana na misukosuko ya WATU KUDAI MAJI, SHULE na VITUO VYA AFYA...!!!. Magufuli alifanya makosa sana alipoanza kutoa HUDUMA YA ELIMU BURE toka msingi mpaka Sekondari baada ya kuropoka kwamba WATANZANIA FYATUENI WATOTO KADRI MUWEZAVYO MAANA SERIKALI YA MAGUFULI ITAWASOMESHA BURE...This was a very serious and grave mistake ever done by a President.

Lakini pia WB wamesahau kuhusu kilio cha WAKULIMA kuhusu bei za mazao yao kama KOROSHO(Koro-show), Pamba, Tumbaku. Mchele na Mahindi bila kusahau wakulima wa Mbogamboga wanaomwaga mazao yao kila siku kwa kukosa Soko la Uhakika na kutokuwa na sehemu za Viwanda vya Kusindika mazao hayo ili kuongeza thamani...!!

Sijaona WB wakipongeza ununuzi wa ndege....!!!Hii imekaaje kwa wapiga debe wa JPM tunapoelekea 2020?
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,618
2,000
Hivi huwa mnaelewa kilichoandikwa au unafyatua tu comment?

CCM imejaza majuha ambayo hayawezi kufikiri, kuchanganua,kutathimini mambo ili kufikia hitimisho sahihi la issues! Ndiyo maana kwa sasa inaonekana Magufuli ndiyo Think Tank wa CCM kwa kila kitu....!!Yeye ndiye Minister of Finance, BOT Governor, Speaker of The National Parliament of Tanzania. Yeye ndiye anayapanga Bajeti na wakti mwingine anaelekeza nini kinunuliwe na nini kisinunuliwe...hata kama Bunge walipitisha Bajeti kwa mambo ya msingi yeye anaweza kubatilisha kulingana na vipa umbele vyake siyo vya Taifa wala Serikali....Hii ni shida kubwa sana kwa utawala huu!!!
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,618
2,000
Watu tunafyatua matofari kwa spidi kuliko ukuaji wa uchumi!
any way jitihada zote za kupunguza ufyatuaji alizikataa akasema tufyatue tu hela zipo. Sera ya uzazi wa mpango ikafa watu tukaanza kufyatua so unaona hill ongezeko?

Si ajabu pale Mzee wa Msoga(JMK) aliposema..''AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO..."
Lakini kwa mijitu mingi ya CCM ilishindwa kumwelewa JMK alikuwa akimaanisha nini...!!! Bwana Pombe kawapiga na kilevi chake akili zote zimehamia kwenye viuno....kazi ni kufyatua tu bila mpangilio...!!Akili ya mbayuwayu haipo kwa mijtu ya CCM...!!
 
mulaga

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
3,156
2,000
Social Context

Despite efforts between 2007 and 2016 that have reduced the country’s poverty rate from 34.4% to 26.8%, the absolute number of poor people has held at about 13 million due to high population growth. The most recent poverty measures based on the Household Budget Survey of 2017/18 are still being processed, but it seems likely that the downward trend in the poverty rate continues but has become more gradual. Government efforts to expand access to social services like education, health, and water have been undermined by their declining quality as the population rises faster than the supply of the services.

Mimi siyo mwana uchumi. Lakini kinachoelezwa hapa ni kwamba juhudi za Serikali kuwafanya watu wapate huduma za msingi kama Elimu,Afya,Maji vinazidi kupungua kwa UBORA maana huduma haziendani sawa na ongezeko la watu. Ongezeko la watu linakwenda kasi kuliko huduma zinatolewa na Magufuli.

Huu ni ukweli unaoonekana hata kwenye ziara za Rais tunaona akikumbana na misukosuko ya WATU KUDAI MAJI, SHULE na VITUO VYA AFYA...!!!. Magufuli alifanya makosa sana alipoanza kutoa HUDUMA YA ELIMU BURE toka msingi mpaka Sekondari baada ya kuropoka kwamba WATANZANIA FYATUENI WATOTO KADRI MUWEZAVYO MAANA SERIKALI YA MAGUFULI ITAWASOMESHA BURE...This was a very serious and grave mistake ever done by a President.

Lakini pia WB wamesahau kuhusu kilio cha WAKULIMA kuhusu bei za mazao yao kama KOROSHO(Koro-show), Pamba, Tumbaku. Mchele na Mahindi bila kusahau wakulima wa Mbogamboga wanaomwaga mazao yao kila siku kwa kukosa Soko la Uhakika na kutokuwa na sehemu za Viwanda vya Kusindika mazao hayo ili kuongeza thamani...!!

Sijaona WB wakipongeza ununuzi wa ndege....!!!Hii imekaaje kwa wapiga debe wa JPM tunapoelekea 2020?

Ndege kwa nchi masikini ni mzigo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom