Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,499
- 86,023
Ni Mwenyekiti wako, au ulidhani tumesahau??Aliyekwambia tajiri hakopi nan
Ni Mwenyekiti wako, au ulidhani tumesahau??Aliyekwambia tajiri hakopi nan
Kama hoja ya mojawapo ya Zitto ilikuwa pesa hizo zikitolewa mwaka huu zinaenda kuwasaidia CCM kwenye uchaguzi, kwa hivyo hizi za TASAF hazitawezekana kuwasaidia CCM?Mimi nilijua zile za elimu zimetoka!!
Ila mbona kila tukigeuka kulia ni kukopa,kushoto nako ni kukopa!Daaah!
Mkopo huo utatumika kwenye Kipindi cha Pili cha TASAF, mnaopambana kuwazuia mtashindwa
World Bank bankrolls Tanzania’s new antipoverty drive with Sh1.03 trillion
Dar es Salaam. The World Bank will issue a loan of Sh1.03 trillion in support of the second phase of Tanzania Social Action Fund (Tasaf). A total of Sh2 trillion will be spent during the five...www.thecitizen.co.tz
Mwenyekiti wangu yupiNi Mwenyekiti wako, au ulidhani tumesahau??
mabeberu yanatupenda kuliko hata sirikali ya fisiemuMkopo huo utatumika kwenye Kipindi cha Pili cha TASAF, mnaopambana kuwazuia mtashindwa
World Bank bankrolls Tanzania’s new antipoverty drive with Sh1.03 trillion
Dar es Salaam. The World Bank will issue a loan of Sh1.03 trillion in support of the second phase of Tanzania Social Action Fund (Tasaf). A total of Sh2 trillion will be spent during the five...www.thecitizen.co.tz
Sijui ule wimbo wa tunatekeleza miradi yote kwa fedha zetu za ndani umeishia wapiMimi nilijua zile za elimu zimetoka!!
Ila mbona kila tukigeuka kulia ni kukopa,kushoto nako ni kukopa!Daaah!
Kumbe ni hoja mojawapo!Pengine wameweka masharti na wamejiridhisha hazitatumika kinyume,mimi na wewe hatujui!Kama hoja ya mojawapo ya Zitto ilikuwa pesa hizo zikitolewa mwaka huu zinaenda kuwasaidia CCM kwenye uchaguzi, kwa hivyo hizi za TASAF hazitawezekana kuwasaidia CCM?
Tafakari.
Kwa hiyo katika mafunzo yote haya hamjifunzi chochote?Na hizo pia zitakuja, maana taasisi ni ile ile, hawaendeshwi kwa fitina
Rais ajaye anaweza kujikuta ana small margin ya kukopa!Sijui ule wimbo wa tunatekeleza miradi yote kwa fedha zetu za ndani umeishia wapi
Kipaumbele ni kusaidia wasijioweza/wenye kipato cha chini,hao wa kwenye elimu watapitia humo humo ili kuwasaidia kufanya shughuli ndogo zitakazowaingizia kipato.hivi lile zuiyo lilihusu pesa za Tasaf au pesa za kusadia Elimu?
Hebu tuanzie hapo kwanza.