Bank za kiislam zawa imara ktk uchumi tete wa ulimwengu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bank za kiislam zawa imara ktk uchumi tete wa ulimwengu

Discussion in 'International Forum' started by Chuma, Oct 16, 2008.

 1. C

  Chuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wadau wakati Dunia ikiwa inaendeshwa kwa Uchumi-RIBA ambao umeonesha big failures ktk kipindi cha hivi karibuni.

  Bank za Kiislam na Islamic Products zimeendelea kuwa imara kwani uchumi wake umebased ktk UCHUMI USIO NA RIBA...

  Angalia Habari ya CNBC ktk youtube
  [media]http://www.youtube.com/watch?v=xsyWh1DLIUg[/media]

  Pembeni mwa youtube utakutana na Video clips za kadhaa kwa wale wenye kutaka maarifa juu ya namna uchumi usio na Riba ulivyokuwa Bora.

  Habari zaidi...

  Islamic Banks Withstand Mortgage Crisis  "The Islamic bank has a fantastic year, the underlying trend of Islamic banking businesses within ABC is very good," said Smith. (Reuters)

  MANAMA — Islamic banks have succeeded where all others have failed, withstanding the US subprime mortgage crisis which left global markets rattling.

  "The Islamic bank has a fantastic year, the underlying trend of Islamic banking businesses within ABC is very good," a senior official of the Arab Banking Corporation told the Reuters Islamic Finance summit on Monday, February 4.
  Duncan Smith, the head of the Corporation' s Islamic operations, said a focus on regional business and efforts to ensure products complied with Shari `ah helped shield his unit from credit-market losses.
  The bank's 2007 earnings from conventional non-Islamic departments fell to $125 million from $202 million in 2006.
  The ongoing Amer ican subprime mortgage crisis, which is making international headlines, was sparked off last year when a steep rise in the rate of foreclosures caused more than 100 lenders to fail or file for bankruptcy.
  The crisis had a domino effect on the US economy and stock market, which in turn affected almost all stock markets worldwide as early as last month.
  Global banks have written down more than $80 billion in credit market losses since October alone as defaults on subprime mortgages triggered a credit crisis that threatens to tip the US economy into recession.
  None of Malaysia 's Islamic banks have been hit by write-downs resulting from the crisis and the resulting global credit crunch, second finance minister Mohamed Nor Yakcop told the three-day summit in the Bahraini capital Manama .
  He said holders of sukuk or Islamic bonds have been shielded from the worst effects of the subprime mortgage meltdown.
  Instead of interest, Islamic banks operate on the principle of sharing risk and reward among all parties in a business venture.
  Growing


  "Sukuk has now become a very popular product," said Nor Mohammad. (Reuters)
  Economists say the global credit crunch triggered by the subprime crisis has spurred greater interest in Shari `ah-compliant financing.
  "There is a feeling that the way Islamic finance is structured — the lack of freedom in leveraging, the need for real assets — that there will be some who will find Islamic financing interesting," said the Malaysian official.
  He said interest in financial instruments that comply with Islamic prohibitions against investing in sectors such as alcohol, pornography and gambling was starting to emerge in China and South Korea .
  "Sukuk has now become a very popular product," Mohamed Nor stressed, adding that officials from Hong Kong had consulted with Malaysia on Islamic finance.
  Rasheed al-Maraj, the governor of Bahrain 's Central Bank, believes the mortgage crisis could encourage weary investors to throw their weight behind Islamic assets and stocks given the collapse of Western asset prices.
  "Maybe Islamic banking will be a safe bet for them," he said.
  "I think opportunities exist in the United States and Europe as a result of this financial distress."
  Giant banks like Amer ica 's Citigroup , Britain 's HSBC and Germany 's Deutsche Bank recently launched Shari `ah-compliant branches.
  A Deutsche Bank executive told Reuters that it was helping US and Canadian firms to sell Islamic bonds in Malaysia this year worth between $300-500 million in ringgit.
  Having about 76 percent of the world's Islamic bonds, Malaysia has been promoting itself as a hub for Islamic finance but faces rivalry from neighboring Singapore and Brunei .
  The Islamic banking industry, which began almost three decades ago, has made substantial growth and attracted the attention of investors and bankers across the world.
  There are an estimated 300 Islamic banks and financial institutions worldwide whose assets are predicted to grow to $1 trillion by 2010.
  [media]http://www.islamonl[/media] ine.net/servlet/ Satellite? c=Article_ C&cid=1201957590961&pagename=Zone- English-News/ NWELayout

  Kwa hapa Nyumbani Tanzania....uanzishwaji wa Bank za Kiislam naona bado...Kenya Commercial Bank wameshaanza kufungua Islamic Window...Pia Kenya naona Mabenk Kadhaa yameshaanza kufungua Shariah products ktk bank zao, kama Barclays na HSBC

  ...Nafikiri Tanzania ni wahitaji zaid wa Bank zinazoendeshwa Bila RIBA....kwani kwa muda sasa wengi wa wakopaji wamekuwa wanalalamika kuwa bank zinatoza RIBA kubwa....na Hii imepelekea baadhi ya nchi kuwa Maskini zaidi...Utakuta Tanzania deni letu be x amount, lkn ukijumlisha na Riba utakuta X+Y amount..na bahati mbaya RIBA huzaa usilipa in time...kwa mtaji huo kuna Kundi la wajanja wao wataendelea kuwa Maskini hadi wanakufa....

  Wana JF mna comments...?
   
 2. K

  Koba JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  interesting..hebu tupe shule kidogo islamic bank zinavyo operate
   
 3. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2008
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa anajaribu kutukomvisi tuone kama uislam ni dini nzuri kuliko zote. ingekuwa hivyo si ndo mngekuwa matajiri wa dunia? hata kama kuna economic recession marekeni na ulaya, usifikiri ndo wameshakuwa masikini. kuanzisha bank ya kiislam isiyokuwa na riba, utapata wapi faida sasa? na hiyo itakuwa ni NGO au ni bank? faida yake itakuwa ndogo sana. uchumi wa aina hiyo, na bank za aina hiyo pelekani huku zanzibar sio hapa bongo.waislam badala ya kujenga shule na kupeleka watoto wenu shule badala ya madrasa, mnafikiri hayo, ndo maana wakristo wanawapiku kila siku. angalia shule za st.st. zinavyozidi kufunguliwa kila siku, kuna shule nyingi wakristo kila siku wanajenga shule na kupeleka watoto wao shule, ninyi kalaga baho.
   
 4. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2008
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Masuala ya uchumi hapa kwa Mwana wa Mungu yamekaa kando.Maskini!!Agenda yake iko mbali na mtoa mada.Jazba au ujinga?
   
 5. S

  Stone Town Senior Member

  #5
  Oct 18, 2008
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asalamu Alaykum.

  Kwani Zanzibar ndio waliokuwa hawataki faida au hawataki mazuri mbona umekimbiza zanzibar kwa kuwa umeona kuna waislamu wengi? hilo najua halina shaka lakini mbona hiyo hiyo zanzibar ilipotaka kujiunga na OIC bara ndio walivalia njuga na kukataa suala hilo? sisi wazanzibari tunataka sana sana ianzishwe hiyo benki ya kiislamu na tunaihitaji sana maana kwetu sisi kutokana na imani zetu riba ni haramu na haitupasi kuichukua lakini kwa kuwa hatuna budi na hakuna benki mbadala ndio tunalazimika kuweka katika mabenki haya yenye riba lakini kwa kweli huwa hatuyapendi ingawa wapo wanaofanya hivyo bila ya kuzingatia maadili na mafundisho ya dini kama ilivyo kwa dini nyengine.

  Kuhusu tamko lako kwamba st. st zinaongoza ni kweli hili hatulipingi lakini ndio hayo hayo tunayosema kila siku ambayo ni malalamiko yetu waislamu kwamba tunabinywa na kuwekewa vikwazo vya kila aina kila tukionekana tunataka kujikwamua kiuchumi na kijamii kunakuwa na vipingamizi vya aina fulani vinavyofanywa na dini nyengine hata waislamu wanapoanzisha shule zao utakuta wengi wao wanaosoma ni wale wasiokuwa walengwa yaani sio waislamu. sasa unadhani tutainuka vipi? si kwa kuwa nyinyi mnaye aneyekukingieni kifua? yaani hiyo vatican, lakini si neno muhimu uadilifu tu na tutafika tunapotaka kwenda ingawa taratibu.

  kiasi muwe na mdomo wa kuwatusi waislamu na kuwakejeli kwa kuwa mnajiona nyinyi mna power ila sisi hatupaswi kuwatukana wala kuwakejeli kwa kuwa tunayemtegemea si mtu mwenye uwezo wa kidunia tunamtegemea muumba wa kweli ambaye ana jua siri na dhahiri.

  mnaona jinsi waislamu wanavyodhalilishwa dini inavyokejeliwa na kuzuliwa kila baya na ovu mara magaidi mara nani lakini faraja ni kuwa ipo siku wale wote wanaokejeli na wenye kujifanya mashujaa wataingizwa katika mikono ya Allah hapo ndipo watajuta kuyasema waliokuwa wakiyasema.

  siku njema
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hii haitakuja kutokea mwana wa mjakazi. Hizo hapo juu ni ndoto kubwa maana Mungu wetu ni mkuu kuliko wa kwenu, na kwa jinsi hiyo hatutaweza kukutana na Allah bali tutakutana na Jehova Mungu wetu.
   
 7. K

  Kjnne46 Member

  #7
  Oct 18, 2008
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha kuyasoma maneno ya mwana wa mungu ambayo hayalingani kabisa na HOJA na tena yanaonyesha jinsi alivyojawa na chuki na UISLAMU. Ingawa hapa sio mahala pake itabidi tumfunue macho huyu mwandishi:
  1. Uislamu haujajinadi kuh uadilifu wake ktk uchumi lakini ni haya matatizo ya "economic crunch" yaliyowakumba baba zake mwana wa mungu anaowaabudu wakati Nchi za Kiislamu zimesalimika.
  2. Inashangaza kuona kwamba kisomo cha juu, taaluma kubwa , utajiri na silaha nying za maangamizi walizonazo WAMEJIKUTA KTK HALI MBAYA MNO KIUCHUMI wenyewe wanasema ni recession ambayo haijawahi kutokea! Cha ajabu ni kuwa hawamjui adui wao aliyesababisha janga hilo ingawa wote walishirikiana "crUSade ya kudhalilisha Uislamu na kuwafunga, kuwatesa, kuwaua Waislamu duniani kote. Kwa hiyo, jibu la ALLAH ni hilo!!

  3. Ukitaka kujua zaidi juu ISLAMIC BANKING waone hapo DAR Bank of Malaysia au soma website yao - ni neema kubwa kuweka pesa zako au kukopa kwa maadili ya Kiislamu. Vivyo hivyo ndio ingalikuwa tunafaidka na kujiunga na OIC!
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Oct 30, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Islamic banking refers to a system of banking or banking activity that is consistent with the principles of Islamic law (Sharia) and its practical application through the development of Islamic economics. Sharia prohibits the payment of fees for the renting of money (Interest|Usury|Riba) for specific terms, as well as investing in businesses that provide goods or services considered contrary to its principles (Haraam).

  For more information: try wikipedia website:

  http://en.wikipedia.org/wiki/Islamic_banking
   
 9. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Iweje Saudi Arabia wana US Gov Stock za Thamani ya $800Bil???
  Kwa nini wasiwekeze huko kwenye mabeki yasiyotoa Riba?

  Ni hao hao Waarabu na mapesa yao wamenunua hisa kwenye Makampuni ya Kimarekani yanayouza Hisa huko Wall Street kila siku.

  Upande mmoja wa Benki hizi ni baridi kali kama lile la ilowahi kuwa sayari ya tisa yaani Pluto na upande mwingine ni joto kali kama la Sayari ilo karibu kabisa ya jua yaani Zebaki.
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Oct 30, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wasaudia (Waarabu) na Uislam vitu viwili tofauti.

  Those who devour usury will not stand except as stand one whom the Satan by his touch Hath driven to madness. That is because they say: "Trade is like usury," but Allah hath permitted trade and forbidden usury. Those who after receiving direction from their Lord, desist, shall be pardoned for the past; their case is for Allah (to judge); but those who repeat (the offense) are companions of the Fire: They will abide therein (for ever).

  Qur'an 2:275
   
 11. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naomba kuuliza hivi kwa muislam ni haramu kununua kama "Bond" (dhamana za serikali) ambazo zinalipa interest (faida)?
   
 12. AbdulKensington

  AbdulKensington Member

  #12
  Nov 4, 2008
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwana wa Mungu, nadhani uko 'narrow minded' na una chuki binafsi na waislam...soma habari kwanza halafu tafakari, sio upinge mambo yote yanayohusu Uislam. Kwa taarifa yako waislam ni matajiri mno, asilimia kubwa ya mafuta yanayoendesha uchumi wa dunia unatoka kwenye nchi za kiislam. Tembea uone Dunia ndugu yangu...nenda Dubai ukaone waislam walivyoendelea, Dubai hivi sasa inaitwa 'Business Capital of The world'...na watu wengi wanapeleka hela zao kule na kuwekeza, kwa mwendo huu itafika stage ambapo nchi za Kiislam zitakuwa tajiri kuliko nchi zote duniani. kwetu sisi ni muhimu zaidi kujenga Madrasa kuliko hizo shule zenu zilizojaa elimu ya dunia na hali hapa duniani tunapita tu! Nasikitika kuona kwamba unaleta udini....sisi watanzania ni kitu kimoja, na pia nasikitika kuona kwamba unaudharau Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar. Sisi sote ni mmoja! Kama huna kitu cha kusema ni bora unyamaze kimya kuliko kuongea mambo ambayo hayana maana!
   
Loading...