JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
amani iwe kwenu!
Tarehe 22.02. 2016, nilipata ujumbe usemao akaunti yako inayo ishi na namba.... imetoa fedha shs 180672, kama huna taarifa na muamala huu tafadhali piga namba... kwa mawasiliano zaidi.nilipo piga sikupokelewa bali niliendelea kupokea maelezo ambayo kwangu hayakuwa na maana.baada ya siku mbili nilienda kwenye tawi nililofungulia akaunti kuuliza kulikoni.Jibu nililo pewa ni kuwa kuna makosa yamefanyika NMB Makao makuu, fedha hizo zitarushwa.
baada ya siku tano nilirudi tena kuulizia mbona hawajarudisha? nikapewa jibu lingine kuwa yale ni makato halaliambayo NMBhakuyafanya huko nyuma kati ya mwaka2014 na 2015! nikawauliza kwanini hawakukata wakati muamala unafanyika wakati huduma zao zote ni Pre paid? wakanijibu labda akaunti haikuwa na hela,Alas!! katika mfumo wa kulipa kabla ya kuhudumiwa ilikuwa mkatoa huduma wakati akaunti haina fedha? wakakosa jibu.
Binafsi sijajiunga na huduma yoyote ya kulipa baada ya kutumia na NMB, kwahiyo kama nitataka say kununua kitu chochote kupitia akaunti yangu ni lazimaq niwe na salio la kuwezesha kulipia muamala husika vinginevyo nitaambiwa salio halitoshi. Nimewaomba wanioneshe transactions zote ili ionekane nilitakiwa nilipe shs 180,762/ hawajanitolea!nahisi nimeibiwa fedha zangu.
Je, niwafungulie mashitaka?