Bank teller dirisha la check Manonga branch-Shinyanga ni jipu

tatamajuva

Member
Sep 11, 2019
29
45
Bank teller dirisha la check NMB - Manonga mkoani Shinyanga anapaswa ajirekebishe kutokana na utendaji wake kazi usioridhieha kwani muda mwingi ofisi yake inabaki ikiwa hakuna mtu na hii inapelekea check zinakaa hadi siku nne bila kupata huduma.

Aidha, Meneja chukua hatua haraka kutokana na usumbufu huo, kwani tatizo hilo lipo chini yako, ni aibu kubwa.

Wekeni mtu mtu makini anayejali kuwahudumia watu na siyo kujali shughuli binafsi.
 
Sampdoria

Senior Member
Aug 4, 2019
127
250
Samahani ndugu zangu ....nimelipokea hili ninawahidi kujirekebisha na nitaenda na kasi zuri

Poleni sana ndugu zangu
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
59,043
2,000
Bank teller dirisha la check NMB - Manonga mkoani Shinyanga anapaswa ajirekebishe kutokana na utendaji wake kazi usioridhieha kwani muda mwingi ofisi yake inabaki ikiwa hakuna mtu na hii inapelekea check zinakaa hadi siku nne bila kupata huduma.

Aidha, Meneja chukua hatua haraka kutokana na usumbufu huo, kwani tatizo hilo lipo chini yako, ni aibu kubwa.

Wekeni mtu mtu makini anayejali kuwahudumia watu na siyo kujali shughuli binafsi.
NMB Tanzania njooni huku
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom