Bank of Tanzania Kubadilisha Notes.

Dindai Ndesi

Member
Dec 5, 2010
16
0
Kitendo cha kubadilisha notes ni sawa na kuongeza fedha katika mzunguko huu wa kasi ndogo uliopo sasa. Na hii inahashiria kutokuwa na usawa katika Pato la Taifa, thamani ya bidhaa pamoja na huduma zilizozalishwa ( GDP ) ukilinganisha na fedha zilizopo katika mzunguko.

Kwa mtazamo huu ni dhahiri kuwa (Wachumi naomba mchango wenu) uchumi unayumba, vile vile dhamani ya fedha imeanguka. (inflation)

La kushangaza, nimesoma gazeti moja limeandika, baada ya Bank Kuu kutangaza kubadilisha notes, thamani ya shilingi ya Tanzania imeongezeka!!!!!
 
Back
Top Bottom