Bank of Tanzania (BOT) - Vacancies! !

Jamani kama huna cha kuandika si bora usome tu habari, Hizo nafasi za BOT ni za tokea mwezi wa sita. ukiongeza wiki 2 za kuexpire ni imeshapita, sasa wewe unaweka leo hapa watu wafanyeje?
Be serious
 
Ukiona hivyo jamani shukuru mungu, naujue japo kidogo kuwa kuna baadhi yetu binadamu hatuna lengo baya ila nikutoa taarifa tu kuwa, kulikuwa na hiki lakini mambo ndo hayo.
 
qualification wanasema form six leaver up to division three.Kuna mtu amelengwa na kigogo wa bot.Kama hamuamini mi ntafuatilia na nitawapeni jina la kigogo wa kichaga alieko bot.Wanatangaza kutimiza wajibu tu.Kazi tunayo ndugu zangu............
Good luck . . .
 
Hi Members...am a brand new member in the forum...for now am just saying hello to all you.
 
welcome harmony,feel at home,looking forward to hear your ideas and contributions towards others' ideas too
 
African treasure hunters! Nguvu za giaza mbele. Grave robers kule misri hawakutumia nguvu za giza kuingia kwenye makaburi ya mafarao, ije kuwa kwenye kaburi la mjerumani? lolz
 
Guys, I may be missing some crucial inputs to operate this website. My eyes, excuse me if am mistaken, have been spotting old adverts and items which looks filthy in the Jamii Forums. I DON'T MEAN FILTHY IN TERMS of garbage but in terms of old adverts which don't add up to the site. Additionally, getting latest seem to be Mt. Knjaro or make it clear are not coming forthwith. Thanks J.R. Ogud
 
mbona mnaongea extrnal service Invisible akiwaona mmekwisha atajua nyie sio watanganyika
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom