Bank kuu yamwaga Ajira kwa vijana wenye Sifa

mawazo ya kukata tamaa na story za vijiweni.kila nafasi imeshachukuliwa? hao wanaotoboa usaili huwa wanakuwa wapi?

kama una sifa kajarib bahati yaki
Ni kweli mkuu mbona mpaka sasa hatujaona mrejesho wao? Hawajatangaza chochote tena kama kuna walio itwa kwenye usahili au interview hamna
 
Hizi criteria na zenyewe lazima ziwe regulated na serikali otherwise hazimsaidii graduate wa Tanzania kupata kazi kwa kumtengenezea mazingira wezeshi.Mfano hili Tangazo la BOT ni changamoto sana manake mtu unaweza kuta ana 2nd Class au pengine 1st Class lakini anakuwa hawezi ku qualify sababu siyo fresh graduate au ana 2nd class lakini ana experience ya more than 3 yrs ambayo ipo nje ya qualifications-Huku ni kumtengenezea mazingira magumu mno graduate.
We mzee umezingua tu kubali.

Kila mwajiri ana criteria zake zisipo fit kwako zitafit kwa mwenzio. Hata usemeje criteria haziwez fit kwa wote
 
Mkuu ulienda shule ukasoma na kuelimika kweli? Umesoma na kuelewa nilichokiandika au unaleta cheap argument? Kwa hiyo ukiwa na GPA ya 5 uliyoipata let's say 2015 na experience ya bank ya 5 yrs ndo una qualify kuitwa kwenye interview?
Elewa mzee main target yao ilikua ni Freshiers from school. Kama inavyo kuaga wangine watasema experience ya miaka kadhaa 2,3 or whatever na gpa watasema kama watahitaji kulingana na demand yao. The vice versa is true

BoT focus yao iko ivyo so wewe apo ndo una leta cheap arguments.
 
Sasa kaka unabisha nini...fatilia basi aina za anuani ujue zipi za kupeleka kwa mkono au kwa posta maana unabisha bila kuwa na uelewa wa adress types...ndio maana mnakosa kazi hivyohivyo...unapeleka posta barua inafika muda wa recruit umepita...by the way walikuw wanaruhusu watu kupelekeana , u just submit the envelope and register the name ...
Kuna kitu inaitwa EMS
 
Mchakato wa BOT huwa ni wa muda mrefu.Wanaweza kutangaza kazi leo interview zikafanyika baada ya miezi 6
Wee nae mbona hueleweki mara tayari wameshaanza kuita huku unasema vingine
 
Back
Top Bottom