Bank Kuu Tanzania: vyombo vya usalama fuatilia mtu huyu Salva Kazimoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bank Kuu Tanzania: vyombo vya usalama fuatilia mtu huyu Salva Kazimoto

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Jamani mbona si poa, May 18, 2012.

 1. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi za baadhi ya maofisa wa BOT kujihusisha na rushwa kwa kutoa vibali vya biashara ya non banking kwa watu wanaokopesha watanzania wenzao kwa riba za juu sana na kuchangia umaskini kwa mtanzania.

  Pana mtu anaitwa Salva Kazimoto ndiye mhusika mkuu mla rushwa naomba vyombo husika fanya uchunguzi na chukua hatua mara moja; tumechoshwa na wahalifu katika ofisi za umma.

  Kuna ka ofisi pale jirani na Chuo cha Ardhi survey yule. Massawe anawaibia watu, kuchukua Form ya Kuomba mkopo lazima utoe laki moja ni non refundable uwe umepata au ukose mkopo laki imeenda. Na mara nyingi hatoi mkopo anakusanya tu laki kwa yeyote anayetia mguu.

  Wapo wengi wa namna hii na BOT wamekaa tu wanaangalia kwani ndio wanufaika.

  Nchi hii inaenda wapi jamani kamateni hawa wezi na kufunga jela.

  Nawakilisha.
   
 2. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  NO ! Toa ripoti PCCB !
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya mikopo mbona ni makubaliano baina ya mkopeshaji na mkopaji Rushwa inatoka wapi hapa, kwanza aina ya mikopo inayotolewa na masawe haiwi supervised na BOT, Huyu anapata leseni kutoka wizara ya biashara na viwanda.

  Labda kama unabeef na Masawe na huyo Kazimoto, lakini kwenye hili binafsi sioni unataka nguvu ya UMA iingilie namna gani?

  Zaidi ni kwamba, Masawe analazimika kuweka charges nzito nzito kama hizo sababu anatoa mikopo katika mazingira magumu sana, watu wanachukua pesa alafu wanasepa tu utafikiri hakuna serikali kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya kibiashara.

  Zaidi tena, wew kwa masawe umefata nini wakati mabenki yamejaa hapa mjni, ukiona haukopesheki kwa mabank basi ujue saizi yako ni mashark kama masawe, FINCA, PRIDE, BRACK,Karamagi anayo, Uncle Liyumba anayo pia, mimi pia natoa 10% per month ila hakuna processing fees kama hizo za masawe.

  Suluhisho la matatizo yote haya ni kuwa na serikali inayoongozwa na watu ambao hawafikirii namna ya kuleta unafuu kwenye maisha ya wananchi wake, katika hili, kuweza kuweka mazingira ya biashara yatakayowawesesha wananchi kukopa pesa katika riba nafuu, of course na wakopeshaji waweze kuridhika kwamba wanaweza kupata chochote kwa kukopesha katika friendly terms.

  Hivyo, jiunge kwenye harakati za kukisukumiza CCM shimoni, ama sivyo unapoteza muda wako bure, kama ni BOT pale hakuna mtu wa kumshughulikia mwenzake sababu hakuna anayejua nani kaletwa na nani? we unadhani hao wenye madaraka hawayapendi? what if Kazimoto anaaffiliation na Ritz1, au dada yake?

  Na kama umeishachukua mkopo huko usidhani utamfunga Gavana Masawe kwa kuja kumchafua huku, wewe subiri siku ya rejesho ifike upeleke pesa zake, au ilikuwa ni leo???
   
 4. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nakuunga mkono
   
 5. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  loan sharks kama masawe wapo kwa sababu moja tu: benki zetu bado zina matatizo sana.
   
 6. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hoja yako zuri sana, hila umeandika ukiwa umepanda tipa nyuma nin?
   
 7. J

  Juma123 Senior Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Kumbe SUALA la mishahara mikubwa siyo tija? Hao BOT wote wachunguzwe ndo wanatishia USALAMA KWA rushwa zao, pamoja NA kuwa the most pampered workers in Tanzania
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ya china????
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa connection ya kazimoto na masawe jamani
   
 10. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  sasa huyo jamaa mbona hujasema ni nani na yuko wapi? anafanya nini ili wapate pa kuanzia
   
 11. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Taarifa yako aijajitosheleza,kwa kuwa uwezi kutoa details zaidi humu nenda pccb uwape isue.
   
 12. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tena tipa lenyewe limebeba kokoto za mbezi beach, bora lingebeba mchanga wa kibaha. hahahaaa
   
Loading...