Bank gani nzuri kufungua account kwa kampuni ndogo?

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
WanaJF, na hasa wenye kitengo hiki cha biashara naomba ushauri wenu kuwa nifungue account kwenye bank ipi maana kampuni yetu ni changa na katika kukua tutahitaji mikopo toka bank husika. Mnatushauri tufungue account na bank ipi? Nitasukuru kwa ushauri wenu
 
nakushauri nenda FNB BANK.
  • Fast company and staff loan
  • Free internet services
  • ATM DEPOSITS FOR FREE 24/7
  • PAY THIRD PART TO ANY BANK JUST ON YOUR PC 24/7
  • PAY STAFF SALARY JUST ONE CLICK ON UR PC 24/7
  • no queing in banking hall
  • EASY BANKING
try mimi naenjoy xana yaan naikubali kastama sevisi yao pia,
 
Kama upo Dar es salaam I will recomend Acess bank to you. Mimi wamenisaidia sana na ninaamini katika kusaidia wajasiriamali wanaochipukia wana uzoefu hawa jamaa
 
Mkuu inategemea sana kampuni yenu ina deal na nn,km ni normal merchandise(namaanisha buying and selling) hata mimi ningekushauri Boa,Access,DCB.
Lakini kama una deal na tenders,za government na other reputable companies,hizo benki hapo juu hawawezi kukusaidia...nakushauri nenda UBA,au CBA(although CBA WAME HALT INVOICE DISCOUNTING KWA SABABU YA DEFAULTERS) wana product zao mbili ambazo ni safi sana..1.LPO finance,hapa the project will be 100% financed ubnder the condition that the employer will sign the domicilliation of the expected proceeds...2.Invoice discounting.Hapa ukishafanya kazi,unapeleka invoice zako,na wanakupa up to 70% of the invoice amount(Hii ni unsecured,you don't need any collateral)
Unaweza kuwacheki mwenyewe.
 
Wadau naona na mimi mmenisaidia kwa mawazo yenu. Niko nalia na CRDB yangu lkn naona sasa kuna umuhimu wa kuangalia kwingine
 
Wakuu nashukuru sana kwa ushauri wenu, nitachekechecha zaidi na kuona ni ipi tuiteua japo kwa kuanzia. Shughuli tunazopanga kufanya na supplies of academic oriented tools na Social Sciences Consultancy kama capacity buidling and Environmental and Social Impact Assessment (ESIA)
 
wote bado sijaelewa kwa mchango wenu kwani anatafuta bank moja kati zote zilizopo huko nyumbani itakayoweza kumsaidia kufungua akaunti kwa kampuni inayoanza kufanya kazi
 
jamaa anataka benk ambayo monthly bank charges ziko chini sana kulingana na uwezo wake. Nadhani bank kama Access, DCB nk ni nzuri.
Lakini pia nimefuatilia michango ya wengine, mengi ni mazuri sana.
 
Mkuu inategemea sana kampuni yenu ina deal na nn,km ni normal merchandise(namaanisha buying and selling) hata mimi ningekushauri Boa,Access,DCB.
Lakini kama una deal na tenders,za government na other reputable companies,hizo benki hapo juu hawawezi kukusaidia...nakushauri nenda UBA,au CBA(although CBA WAME HALT INVOICE DISCOUNTING KWA SABABU YA DEFAULTERS) wana product zao mbili ambazo ni safi sana..1.LPO finance,hapa the project will be 100% financed ubnder the condition that the employer will sign the domicilliation of the expected proceeds...2.Invoice discounting.Hapa ukishafanya kazi,unapeleka invoice zako,na wanakupa up to 70% of the invoice amount(Hii ni unsecured,you don't need any collateral)
Unaweza kuwacheki mwenyewe.

Kaka nimefurahia sana taarifa hii. Naomba nikupm ili tujue taarifa kamili kuhusu LPO inavyoweza kuwa financed nk
 
Hizi ndoo faida za JF, mtu unakula shule na kuanza kubadilika humuhumu JF. Thanks a lot guys
 
nakushauri nenda FNB BANK.
  • Fast company and staff loan
  • Free internet services
  • ATM DEPOSITS FOR FREE 24/7
  • PAY THIRD PART TO ANY BANK JUST ON YOUR PC 24/7
  • PAY STAFF SALARY JUST ONE CLICK ON UR PC 24/7
  • no queing in banking hall
  • EASY BANKING
try mimi naenjoy xana yaan naikubali kastama sevisi yao pia,
Ndiyo hii iliyofilisika!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom