Bank gani nzuri inayotoa mkopo

E.skillz

Member
Oct 24, 2015
38
36
Habari zenu wana ndugu ni Bank gani nzur kwa sasa inayotoa mikopo kwa wafanyakazi na inatumia reducing balance na pia mkopo uwe wa muda mrefu?
 
Nenda access utapata mkopo wa chapchap hata kwa siku 2 tu ila riba, yao itazalisha bajaji nyingine

Ukitaka riba nafuu ni nmb tu ndio wenye riba nafuu
Ila hupati mkopo bila kua na mzunguko na kibank lazima acount yako izunguke kwanza
 
Vigezo Vipi vinatumiwa huko access Mkuu?
 
Jamaa benki sasa hivi zinahali ngumu ya kukudanya madeni sizani kama kuna benki zinazotoa mikopo ,labda jaribu brac.
 
Nenda access utapata mkopo wa chapchap hata kwa siku 2 tu ila riba, yao itazalisha bajaji nyingine

Ukitaka riba nafuu ni nmb tu ndio wenye riba nafuu
Ila hupati mkopo bila kua na mzunguko na kibank lazima acount yako izunguke kwanza
Sio kweli mkuu.unatakuwa kupata tarifa sahihi maana ni 49% uko...
 
Vigezo ama security of loan inakuaje?? Mfano mimi ninamiliki bajaji. Je naweza kutumia kadi ya umiliki kuombea mkopo,,??
Mkuu kama unamiliki Bajaji ina maana unataka mkopo Wa biasahara, Bank inayoweza kukupa mkopo wa haraka ni Access Bank lakini tatizo lao kubwa lipo upande wa riba kwani Access Bank riba ni zaidi ya 35% wakati bank kama NMB riba ni below 25%
 
Vp kuhusu Akiba benki?
 
Nmb ni chini ya 20% mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom