Bank Card replacement kwa sababu ya kusahau PIN ni wizi wa wazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bank Card replacement kwa sababu ya kusahau PIN ni wizi wa wazi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Aug 4, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii system ya benki za Tanzania kukupatia kadi mpya kwa gharama ya Tsh. 10,000 ati kwa sababu imekuwa blocked kwa kuingiza wrong PIN number ni wizi wa waziwazi kabisa. Card bado mpya kabisa, kwa nini wasiwe ni mechanism ya kumtumia mteja PIN number mpya?<br />
  Huu ni wizi ambao wateja tumeukubali bila kuchukua hatua zozote kupitia card products.
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,071
  Likes Received: 4,007
  Trophy Points: 280
  dunia nzimaa huo ndio utaratibu kiusalama
   
 3. M

  Mulugwanza Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2008
  Messages: 89
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Hivi ingekuwaje kama benki zingekuwa nauwezo wa kutengeneza pin kwa kadi ambazo zikokwenye mzunguko? Kama mtu angeweza kuchukua kadiyako na kuwaambia benki kasahau pin kisha wakamtengenezea! Naamini unajua nini kingetokea!
   
 4. 1701

  1701 JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 848
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  Sishangai kupewa kadi mpya,mimi niko exim na niliambiwa itachukua miezi saba,duh
   
 5. Eng. SALUFU CA

  Eng. SALUFU CA Senior Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wATAALAMU WA MABENK MTUJUZE BASI JUU YA HILI.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kama umekosea kuingiza PIN mara tatu lakini unaifahamu PIN, basi PIN yako inaweza kubadilishwa au card yako inakuwa unlocked iweze kutumika tena.

  Kama umesahau kabisa PIN, basi PIN haiwezi kubadilishwa kwenye kadi na inabidi upate kadi mpya. Hii ni kwasababu ya jinsi hizi kazi zenye chip zinavyofanya kazi, unapoingiza PIN kwenye machine machine inaiuliza kadi(Ambayo inahifadhi PIN in encrypted form) kama pin ni sawa, kadi ikisema NO hakuna kinachoendelea baada ya hapo, ikisema YES ndo unaweza kuanza function kama za kubadili PIN.
   
 7. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  nadhani mtoa mada hujamwelewa, yeye kashaur utaratibu wa mteja kutumiwa namba ya siri na sio kupewa mkononi..na hyo inawezejana tena ni safe kabisa ikiwa bank itakua na full database ya wateja wake. Mana pale unapoomba kufungua ac unalazimika kutoa contact details ie phone number email na post box number. So hz information zaweza kutumika kutuma pin code when lost. Na mteja hatotakiwa kutoa contact details pindi akitoa taarifa ya kupotelewa pin ili kuepuka udanganyifu.
   
Loading...