NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
Kuna habari za kuaminika kutoka ndani ya BOT kuwa kuna wimbi kubwa la Bank za kimataifa za kibiashara zitakazomiminika mtaani muda si mrefu kutoa huduma za kifedha kwa jamii ya wa TZ. Mpaka sasa Bank zilizopatiwa Baraka na BOT ni pamoja na The first Nationa Bank of South Afrika.
Swali langu ni moja tu, Hivi hizi bank zinakuja kwa maslahi ya nani? Je mtz atafaidika vipi na wimbi hili la mabenk ya kibishara? kama sikosei yatafika 60 muda sio mrefu. Hivi kweli serikali haiwezi kuyakalia kooni haya mabenki na kufanya kitu cha maana kwenye interest reduction na mikopo nafuu hasa kwa vijana na walalahoi wanaotaka kujiajiri?