Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Ni utumwa na umaskini wa mawazo.
Tazama sura zao ni za watu walio kata tamaa.
Hata mie natumia uhuru wangu wa kikatiba kukuambia kwamba leo mpe bwana vua gamba yoote mpaka aachelewe kuamka.Wametumia uhuru wao wa kikatiba kueleza ujumbe wao kwa hiyo sidhani kama wana kosa. Makosa makubwa ni kwa viongozi wa Chadema kwa kuwakaririsha watu waamini kwamba vurugu ndiyo suluhisho la matatizo yetu. Sasa kila mtu anajua kuwa Arusha ndiyo mji unaoongoza kwa vurugu na maandamano Afrika Mashariki kiasi cha kupunguza idadi ya watalii wanaotembelea mji huo na hivyo kupunguza pato la taifa linalotokana na utalii. Hivi niwaulize MAGWANDA mnaitakia mema hii nchi kweli? Au mnataka Tanzania igeuke Somalia?
Hata mie natumia uhuru wangu wa kikatiba kukuambia kwamba leo mpe bwana vua gamba yoote mpaka aachelewe kuamka.
Toa maoni yako.
<br />Mwita25 said:Au mnataka Tanzania igeuke Somalia?