Bango: Huu si Ukabila na Ukanda?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Bango.JPG


Toa maoni yako.
 
Daaah, hii nchi imefikia pabaya sasa!!

Ubaguzi, ukabila na ukanda nje nje... pathetic supporters!
 
Mambo mengi tu yana ukabila na ukanda. Ajabu hakuna hata kiongozi mmoja aliyewahi kulizungumzia. Think about misaada ya kimataifa huenda wapi, mikoa ipi huwa na budget kubwa kuliko. Well Maoni yangu sasa let wait and see hata hao wanasema tu sababu ya kampeni baadae yatakuwa under the carpet.
 
Ogopa akili zikiwa ktk masaburi! Kila ukiachia usaburi unatoka na sehemu ya akili kidogo. Nahisi kwa hawa pia ndivyo ilivyo!
 
Kila mtu anajua kuwa hata mbwa mwoga uwa anangome yake,unaweza ukakutana nae barabarani ukamtimua belenge mpaka nyumbani kwao akifika Nyumbani kwao hakika tegemea hakubadilikie.

Ndio hilo bango ni ujumbe dhahiri kwa CHADEMA,lakini killa mmoja anajua kuna maeneo fulani kutokna na tabia za jamii fulani imekuwa ni lahisi kwa vyama fulani kushika hatamu maeneo hayo.Ni dhahili CCM kiko Nchi nzima,lakini kwa sasa kuna baadhi ya maeneo vyama baadhi vimeanza kukubalika na kuwa na idadi kubwa ya wanachama.Chadema imekubalika sana mikoa ya Arusha,Kilimajnaro,Mara, Mwanza,Kigoma na Mbeya, wakati CUF imeaanza kukubalika sana maeneo ya Pwani na Zanzibar.

Hivyo kwa mikoa ya SHINYANGA NA TABORA hakika hizo ni Ngome za CCM kwa kiwango kikubwa sana,Hivyo bango ilo japo kwa chama dola ni vyema ikawa makini kuangalia baadhi ya maneno na matamshi kutoka kwa makada wake,kwa kuwa wao ni chama tawala hivyo ni vyema kuwe na sheria zake kwenye chama ili kutoa malengo ys kipi kitamkwe wapi na saa ngapi.
 
wajinga ndio waliwao, waache.
Hawa wana laana ya utumwa, walichukuliwa utumwani na Mwarabu, wakachukuliwa tena utumwani na CCM na kibaya zaidi sasa ni watumwa wa FIKRA
 
Wametumia uhuru wao wa kikatiba kueleza ujumbe wao kwa hiyo sidhani kama wana kosa. Makosa makubwa ni kwa viongozi wa Chadema kwa kuwakaririsha watu waamini kwamba vurugu ndiyo suluhisho la matatizo yetu.

Sasa kila mtu anajua kuwa Arusha ndiyo mji unaoongoza kwa vurugu na maandamano Afrika Mashariki kiasi cha kupunguza idadi ya watalii wanaotembelea mji huo na hivyo kupunguza pato la taifa linalotokana na utalii. Hivi niwaulize MAGWANDA mnaitakia mema hii nchi kweli? Au mnataka Tanzania igeuke Somalia?
 
CCM imezeekaaaaaaaaa ccm ni ajuza+kikongwe. haina dira. sasa imejikita kwenye siasaza ghilba.udini,ukanda,kuibamali za umma.
 
Hao ndo wanawajibika kwa damu za Watanzania kumwagika. Magamba Mungu anawaona
 
Wametumia uhuru wao wa kikatiba kueleza ujumbe wao kwa hiyo sidhani kama wana kosa. Makosa makubwa ni kwa viongozi wa Chadema kwa kuwakaririsha watu waamini kwamba vurugu ndiyo suluhisho la matatizo yetu. Sasa kila mtu anajua kuwa Arusha ndiyo mji unaoongoza kwa vurugu na maandamano Afrika Mashariki kiasi cha kupunguza idadi ya watalii wanaotembelea mji huo na hivyo kupunguza pato la taifa linalotokana na utalii. Hivi niwaulize MAGWANDA mnaitakia mema hii nchi kweli? Au mnataka Tanzania igeuke Somalia?
Hata mie natumia uhuru wangu wa kikatiba kukuambia kwamba leo mpe bwana vua gamba yoote mpaka aachelewe kuamka.
 
Toa maoni yako.

Ni uwezo mdogo wa kufikiri,umaskni na ujinga jitu zima bila aibu unabeba bango limeandikwa maneno ya kipuuzi kama hayo ni upumbavu huo watu wengine bwana akili zao matope kweli.

M2 unaweza ukaona ni ki2 kidogo lakini kinaweza kikajenga chuki sana kati ye2 alf ni chama tawala mambo ya ksnge hayo! Pumbavu wameshaniharibia mudy sahz na kunitia hasira2! Ningekuwa karibu nao hao walio beba hilo bango bac tu!
 
chama kilichofilisika kisiasa ni kile ambacho kipo tayari kutumia udini,ukanda,ukabila... ili kupata ushindi!
 
Kweli CDM ni watu vurugu sana wamenisikitisha sana wamemwagia Tindikali kijana mpenda amani wa Igunga
 
Back
Top Bottom