Bangi na Uruguay - Rais wao nae anatumia nini majani?

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,619
771
uruguay 1.jpg uruguay 2.jpg uruguay 3.jpg uruguay 4.jpg

===>Uruguay imekuwa nchi ya kwanza kabisa duniani kuruhusu uzalishaji,uuzaji na utumiaji wa bangi
===>Picha hizo ni za wadau wakishangilia kupitishwa kwa sheria hiyo
===>Nahisi hata baadhi ya viongozi wa juu wa nchi hiyo ni mashabiki na watumiaji wa majani aka GANJA.
===>Kwa maelezo zaidi soma hapa:Uruguay legalises the sale and production of cannabis | Mail Online
 
Ngoja nianzishe ka "EPZ" kangu ka bangi ya kupeleka Uruguay!
 
nashangaa sana tanzania uchumi tunao tunaukalia. kwanini na hapa bangi haihalalishwi?

dini yako inaruhusu hii??umekuaje leo...

dini yangu inakataza chochote chenye madhara. Hata pombe zinakatazwa kwa dini yangu, mbona viwanda vimejaa na pombe zinauzwa na kunywewa kila pembe ya nchi?

Mimi nnatumia bangi si kwa kulewa na nnatumia "alcohol" si kwa kulewa,a usiingize mambo ya dini hpa.

serikali ina dini?
angalia unavyojichanganya
 
Wewe ulete mambo ya dini, nikujibu, halafu wewe ndio useme mimi najichanganya? umevuta bangi?
ww ni mtetezi mzuri sn wa dini yako...nashangaa leo unauliza kwa nn tanzania bangi haihalalishwi???
 
ww ni mtetezi mzuri sn wa dini yako...nashangaa leo unauliza kwa nn tanzania bangi haihalalishwi???

Kijana nimeshakujibu, kuwa dini yangu chochote chenye madhara ni haramu. Hata wali kama unakudhuru basi kwako ni haramu. Sijui umenielewa au ni bongo lala?

Nikakwambia hata pombe kwa dini yangu ni haramu lakini mbona kuna viwanda vya pombe vingi tu hapa kwetu? kwa hiyo uharamu au uhalali wa bangi kwa dini yangu hauhusiki na kuruhusiwa na serikali.

Nikakwambia pia mbona bangi hata mimi nnaitumia (lakini si kwa madhara) au kwa kulewa.

Nini ambacho hukielewi? vipi wewe hutumii bangi?
 
Nashangaa sana Tanzania uchumi tunao tunaukalia. Kwanini na hapa bangi haihalalishwi?

1. Kwasababu madhara yake ni makubwa kuliko manufaa.
2. Tuna njia nyingi na nzuri zaidi za kukuza pato lentu bla kutumia bangi.

Wengine wenye mtazamo kama wangu wataongezea.

Swali la kizushi: Wewe unatumia???
 
1. Kwasababu madhara yake ni makubwa kuliko manufaa.
2. Tuna njia nyingi na nzuri zaidi za kukuza pato lentu bla kutumia bangi.

Wengine wenye mtazamo kama wangu wataongezea.

Swali la kizushi: Wewe unatumia???

Hayo madhara ni yepi?

Mimi natumia lakini si kwa kulewea.

Unajuwa bangi ni mboga nzuri tu na ni dawa nzuri sana ya magonjwa mengi na pia ina matumizi mengi sana yenye faida?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom