Bangi na Uruguay - Rais wao nae anatumia nini majani?

bora wao waliohalalisha wanaweza wakawa wanatumia kwa kiasi kidogo kuliko sisi ambao ni marufuku lakini matumizi yakawa ni makubwa zaidi
 
Sio siri leo acc yako FF imeingiliwa kabisa kama sio hivyo leo utakua umepiga hi kitu, sio bure!

Duh! kwanini useme hivyo? mimi ningependelea bangi isiwe marufuku Tanzania. Kuifanya marufuku kuna madhara makubwa sana kuliko kuiwachia itumiwe huru.
 
By zedovish don aka Murrah

dah ni kwl ganja ilihusiwe hata mie nitaanza kuilima kwa wingi xana endapo tu hii sheria itapita. GANJA inapexa
 
Duh! kwanini useme hivyo? mimi ningependelea bangi isiwe marufuku Tanzania. Kuifanya marufuku kuna madhara makubwa sana kuliko kuiwachia itumiwe huru.

Mbibi Naona Leo Uko fiti!
Mimi mvivu kusoma Aya Kwa harakaharaka!
Nipe madhara ya bangi na madhara ya sigara?
 
ww ni mtetezi mzuri sn wa dini yako...nashangaa leo unauliza kwa nn tanzania bangi haihalalishwi???

mkuu Tyta najitolea kumtete FaizaFoxy ktk hili.yeye ni mtetezi wa wa dini ya kiislamu ila sio mtekelezaji wa makatazo/amri/sharia za dini ya kiislamu.
 
Last edited by a moderator:
Leo Naona wapenzi Wa kitu wako hazarani!
Faiza Foxy

Jamani na sembe vipi mbona hua hamjitokezi hivi?
 
We mama nakuheshimu sana na huo mtandio wako.
Loh! kumbe huenda unakula msuba, majanga hayo tena.......!

Nadhani haujafuatilia na kumuelewa vizuri FaizaFoxy anachomaanisha ni kwmba, tumedanganyika kwa kuangalia upande mmoja tu wa bangi tukaacha kuiangalia kwa mtazamo wa pili ambao kuna manufaa/ matumizi mengine yenye faida. Matumizi ya bangi sio kuvuta tu!
 
Last edited by a moderator:
View attachment 126200View attachment 126201View attachment 126202View attachment 126203

===>Uruguay imekuwa nchi ya kwanza kabisa duniani kuruhusu uzalishaji,uuzaji na utumiaji wa bangi
===>Picha hizo ni za wadau wakishangilia kupitishwa kwa sheria hiyo
===>Nahisi hata baadhi ya viongozi wa juu wa nchi hiyo ni mashabiki na watumiaji wa majani aka GANJA.
===>Kwa maelezo zaidi soma hapa:Uruguay legalises the sale and production of cannabis | Mail Online

je kipi bora Rais kupiga jani au Rais kupenda kupiga mkuyati hadi anakuwa maarufu kwa watoto kuwa anpenda totoz ?
 
Dini yangu inakataza chochote chenye madhara. Hata pombe zinakatazwa kwa dini yangu, mbona viwanda vimejaa na pombe zinauzwa na kunywewa kila pembe ya nchi?

Mimi nnatumia bangi si kwa kulewa na nnatumia "alcohol" si kwa kulewa, usiingize mambo ya dini hapa.

Serikali ina dini?

Faiza jina hili linauhalisia wako au? Unatumia bangi? Aaaah napita tu njia
 
Nadhani haujafuatilia na kumuelewa vizuri FaizaFoxy anachomaanisha ni kwmba, tumedanganyika kwa kuangalia upande mmoja tu wa bangi tukaacha kuiangalia kwa mtazamo wa pili ambao kuna manufaa/ matumizi mengine yenye faida. Matumizi ya bangi sio kuvuta tu!


Mkuu Naomba unipe hayo manufaa ya bangi Kwa upande huo Wa pili!
 
Last edited by a moderator:
ha ha lazma wadau waongezeka kwan hata sembe wanaongezeka tu uckonde wauzaji na wa2miaji wapo xo population inaongezeka

Kuongezeka sio shida! Hilo liko wazi!

Tunataka wakae hazarani Kama hivi kwenye Ganja!
 
Back
Top Bottom