Bangi 'kila siku' huchomwa mbele ya camera,je dawa za kulevya(ngada) zikamatwazo huchomewa wapi?

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
4,263
9,184
Mara utasikia jeshi la polisi huko kanda maalum ya Tarime na Rorya imeteketeza magunia 50 na ekari mia saba za bangi. Hujakaa sawa mara wilaya moja ya kwa akina Nshomire ekari kadhaa za bangi zimeteketezwa kwa moto.
Sijawahi kusikia zile dawa zenyewe zenyewe zikiteketezwa kama vifaranga vya Arusha.

Huenda kutokana na athari zake ndio maana huteketezwa chini ya uangalizi maalum au ndo watasema huenda kuwapigia pindi wale mbwa wa polisi. Mie sielewi.

Jamani akina Genta a.k.a Mtukukaji,Paskali a.k.a mzee wa Nane nane ,Nyani Ngabu a.k.a mzee wa Kutema yai la kibabe(lkn halimfikii kiranga), Mshana a.k.a mwl Kashasha/Dr Leakey wa mambo yahusuyo uchawi na wadau wengine wooote wa JF. Naombeni majibu mujarabu
 
huwa wana iflashi chooni heheheh! yani uchome mamilioni? utakua huna akili.

na huwa wanabakiza chache kwenye chemba ya kuhifadhia ushahidi ila mzigo mkubwa huwa haujulikani umepotelea wapi.
 
Mara utasikia jeshi la polisi huko kanda maalum ya Tarime na Rorya imeteketeza magunia 50 na ekari mia saba za bangi. Hujakaa sawa mara wilaya moja ya kwa akina Nshomire ekari kadhaa za bangi zimeteketezwa kwa moto.
Sijawahi kusikia zile dawa zenyewe zenyewe zikiteketezwa kama vifaranga vya Arusha.

Huenda kutokana na athari zake ndio maana huteketezwa chini ya uangalizi maalum au ndo watasema huenda kuwapigia pindi wale mbwa wa polisi. Mie sielewi.

Jamani akina Genta a.k.a Mtukukaji,Paskali a.k.a mzee wa Nane nane ,Nyani Ngabu a.k.a mzee wa Kutema yai la kibabe(lkn halimfikii kiranga), Mshana a.k.a mwl Kashasha/Dr Leakey wa mambo yahusuyo uchawi na wadau wengine wooote wa JF. Naombeni majibu mujarabu
Swali kuntu hili...ila nimecheka hapo kwenye a.k.a
 
Haiwezekani kuchoma mkuuu.... Ni pesa mingii xo inarudi kwenye mzunguko tena..
 
Mara utasikia jeshi la polisi huko kanda maalum ya Tarime na Rorya imeteketeza magunia 50 na ekari mia saba za bangi. Hujakaa sawa mara wilaya moja ya kwa akina Nshomire ekari kadhaa za bangi zimeteketezwa kwa moto.
Sijawahi kusikia zile dawa zenyewe zenyewe zikiteketezwa kama vifaranga vya Arusha.

Huenda kutokana na athari zake ndio maana huteketezwa chini ya uangalizi maalum au ndo watasema huenda kuwapigia pindi wale mbwa wa polisi. Mie sielewi.

Jamani akina Genta a.k.a Mtukukaji, Paskali a.k.a mzee wa Nane nane ,Nyani Ngabu a.k.a mzee wa Kutema yai la kibabe(lkn halimfikii kiranga), Mshana a.k.a mwl Kashasha/Dr Leakey wa mambo yahusuyo uchawi na wadau wengine wooote wa JF. Naombeni majibu mujarabu
Kama Bangi huchomwa Mbele ya Kamera, Madawa yatakua yanachomwa nyuma ya Kamera Mkuu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom