Bangi haram | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bangi haram

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by zayat, Dec 31, 2010.

 1. z

  zayat JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Siku moja kule mji kasoro bahari Moro maeneo ya mji mpya kulikuna wafuta bangi 2 wakibishana kuhusu mwezi ua jua kwakweli muda ulikua wa jioni jua limesha zama
  Vuta 1:-lile jua
  Vuta 2:-Hapana ule mwezi
  Vuta 1:-Wewe kanja imekukubali mapema lile jua
  Vuta 2:-Wewe kanja umechanganya na kinyesi cha mtu imepanda haraka ule mwezi
  Kwa bahati mimi nikakatiza
  Vuta 1:-Bro samahani tukuulize at lile jua au mwezi
  Mimi :- Washkaji mimi mgeni sehemu hii hata sijui kama mwezi au jua
   
 2. J

  Jiah Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaan Zayat we ndo kheri ya hao wafuta bange!hapo ulikuwa zero kabisa
   
 3. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  unanikumbusha movie ya kina majuto anbayo kutokana na ubishi Chili alikula mavi.
   
Loading...