Sessame seeds zinatoa same results.Mpe pole tu aisee...kwa sababu hata akiwa na trace tu ya bangi huwezi kuelezea imetoka wapi, huwezi hata singizia kuwa kuna dawa ina sort of chemicals ambazo zinafanana na bangi! Na tatizo bangi huwa inatolewa (excreted) kwenye mkojo taratibu kwa muda mrefu, kama alivuta hata mwezi mmoja uliopita bado watapata trace kwenye mkojo!