Bando la chuo

Bonyeza *147*00# chagua 1 then chagua 3
Utajipatia GB 1 ZA INTERNET kwa Week kwa elfu moja tu (1000/=)

Teflon_Don
 
Nilinunua line ya tigo ya chuo juzi na kuisajili kwaajili ya internet tuu, niliambiwa kuwa ukiweka 2000 unapata 4gb kwa wiki, kweli baada ya kuikamilisha menu ilikuwa hyvyo na niliunga, sasa leo naicheki tena haipo, vp wakuu kuna menu yoyote zaidi ya tigo ya kupata gb za kutosha kwa wiki kwa gharama ya angalau 2000?

Sent using Jamii Forums mobile app
hao jamaa inaonekana matapeli me pia nmeitumia mwezi mmoja tu menu sijaiona tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilinunua line ya tigo ya chuo juzi na kuisajili kwaajili ya internet tuu, niliambiwa kuwa ukiweka 2000 unapata 4gb kwa wiki, kweli baada ya kuikamilisha menu ilikuwa hyvyo na niliunga, sasa leo naicheki tena haipo, vp wakuu kuna menu yoyote zaidi ya tigo ya kupata gb za kutosha kwa wiki kwa gharama ya angalau 2000?

Sent using Jamii Forums mobile app
Piga *148*00*1# halafu chagua university offer! Ila ofa hii ni kwa wale wenye laini ya chuo au waliounganishwa na menu ya ofa za chuo! Usisahu kuleta mrejesho Mkuu!

Democracy means that Domo kiasi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom