nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,198
- 1,595
hao jamaa inaonekana matapeli me pia nmeitumia mwezi mmoja tu menu sijaiona tenaNilinunua line ya tigo ya chuo juzi na kuisajili kwaajili ya internet tuu, niliambiwa kuwa ukiweka 2000 unapata 4gb kwa wiki, kweli baada ya kuikamilisha menu ilikuwa hyvyo na niliunga, sasa leo naicheki tena haipo, vp wakuu kuna menu yoyote zaidi ya tigo ya kupata gb za kutosha kwa wiki kwa gharama ya angalau 2000?
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga *148*00*1# halafu chagua university offer! Ila ofa hii ni kwa wale wenye laini ya chuo au waliounganishwa na menu ya ofa za chuo! Usisahu kuleta mrejesho Mkuu!Nilinunua line ya tigo ya chuo juzi na kuisajili kwaajili ya internet tuu, niliambiwa kuwa ukiweka 2000 unapata 4gb kwa wiki, kweli baada ya kuikamilisha menu ilikuwa hyvyo na niliunga, sasa leo naicheki tena haipo, vp wakuu kuna menu yoyote zaidi ya tigo ya kupata gb za kutosha kwa wiki kwa gharama ya angalau 2000?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kongole mkuuPiga *148*00*1# halafu chagua university offer! Ila ofa hii ni kwa wale wenye laini ya chuo au waliounganishwa na menu ya ofa za chuo! Usisahu kuleta mrejesho Mkuu!
Democracy means that Domo kiasi
Yawezekana majamaa sio matapeli bali tigo ndio utapeli wao huo ili kupata wateja wapya zaidi.hao jamaa inaonekana matapeli me pia nmeitumia mwezi mmoja tu menu sijaiona tena
Sent using Jamii Forums mobile app