Bandarini hakukaliki, Watumishi wengi watamani 'ofa' ya kuacha kazi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12733971_1039145899483201_6669627833609734586_n.jpg
 
kila anayetaka kuacha kazi achunguzwe kama ni jipu atumbuliwe. arudishe kwa umma vyote sio halali yake alivyomeza.
 
Asietaka kazi si ache tu, kwani wamelazimishwa??
Kuna vijana wengi tu wamemaliza hadi chuo kikuu na hawana ajira wakati hapo bandari wamwfanya kupeana kazi kwa sababu mtoto wa kubwa fulani.
 
huu utaratibu wa kusubiri waziri afike ndo tuwajibike utaisha lini. wasimamizi sehemu wawe accountable kwa nani? Mabaraza ya wafanyakazi sehemu za kazi wapewe fursa ya kufichua na kukemea maovu kwenye taasisi za umma
 
Alisema awawajibisha Kazi endapo watakiuka utaratibu wake sasa anza nae huo aliye tuma mssg kuwa nae ni jipu pia kwann atume mssg alikuwa analinda nn hpo badarini
 
Kwani wakiacha hawatapata mafao??

Huko bandarini watu wamekula basi tu binadamu hatushibagi. Niliwahi kufanya kazi bandarini na shirika binafsi ........... huko karani wameridhika utafikiri ni manager. Madereva pia wanatanua .......... hiyo ilikuwa miaka ya mwishoni mwa 90s!!
 
Magufuli amfukuze kazi prof. Muhongo wa kukiuka kiapo chake kwa kutuma sms kwa mama wa WMA
Ukitaka kujua ujinga wa baadhi ya watanzania ni km huyu na wengine wanaoimba rais amwajibishe Prof..huyo mama ana uhakika gani aliemwandikia ni Prof. Muhongo? WM alimuuliza tangu lini mfumo wa maamuzi wa serikali unatumia msg za simu kuamua???acha ujinga na uvivu wa kufikiri..allow your brain to think beyond what you see and hear!!!
 
NO tena A BIG NOoo unaongea kwa msisitizo kama una hoja kumbe hewa tu, Sikiliza Mr. ni hivi hii tabia ya kumwajibisha mtendaji wakati haya madili yanapigwa na wakubwa si sawa kabisa bali uonevu na kuendelea kulea mnayoita majipu na kama mtaendelea hv nakuhakikishia mission yenu itafeli haraka maan badala ya kudeal na chanzo nyie mnakimbilia publicity za kwenye kideo na kamera kuonesha mnawajibisha watu kumbe ni kuwaonea tu.
JIULIZE KAMA NA WEW NI GREAT THINKER HIVI KWA AKILI YAKO UNAFIKIRI HAWA WATUMISHI MAWIZARANI NA POPOTE PALE WANAIBA BILA IDHINI AU MKONO WA WAKUBWA HASA HASA WANASIASA AMBAO NDO MADONDA/MAJIPU HASWAAAA... wanachikifanya ni kuwatumia hawa watendaji wanaosimamia hizi ofisi ila si kweli kwamba watendaji ndo vyanzo vya ufisadi.
Ok UTANIULIZA KWANINI AKIAMBIWA ASIKATAE, NAOMBA NIKUJIBU HIVI KWA MFUMO TULIONAO HAKUNA MTU HATA KAMA NI WEWE MWENYE UBAVU WA KUKATAA ORDER YA BOSI WAKE KWA HOFU YA KUPOTEZA KIBARUA NA PIA IMESHAKUWA KUWA KWASABABU HAMNA UTAWALA WA SHERIA KILA MTU ANAFANYA ANAVYOTAKA BASI N MTU ANAJIONEA ISIWE TABU ANATIMIZA HAYO MAAGIZO JAPO KWA SHINGO UPANDE ILI AENDANE NA MFUMO ULIOPO KWENYE SYSTEM NZIMA, juu hadi chini.

(CONCLUSION iwe hivi unapomwajibisha huyu mtendaji hiyo iendane sambamba na kuwawajibisha ipasavyi hao Wakubwa wanaoshutumiwa kuforce huo ufisadi kufanyika, Na sio kuwaacha na kuendea na kuwaonea hawa wadogo. NA KWA AKILI YA KAWAIDA TU HAKUNA MTU ANAUBAVU WA KUSEMA ALIPEWA MAAGIZO TOKA JUU IKAWA UONGO NEVER kwahyo nadhan ni very simple technique ya kubaini hili. Na sio kwamba hawalijui ila wanaonea watendaji wadogo kwa lengo la kuonekana wanapambana na ufisadi kumbe ni mbwembwe na maigizo huku vyanzo halisi wakiviacha... What a shame.....!!!??
 
Ukitaka kujua ujinga wa baadhi ya watanzania ni km huyu na wengine wanaoimba rais amwajibishe Prof..huyo mama ana uhakika gani aliemwandikia ni Prof. Muhongo? WM alimuuliza tangu lini mfumo wa maamuzi wa serikali unatumia msg za simu kuamua???acha ujinga na uvivu wa kufikiri..allow your brain to think beyond what you see and hear!!!
Kwa hakika wewe ni mjinga na wa kupuuzia mbali kabisa! Unabisha kitu ambacho umma mzima unajua? Nenda yuotube usikilize na uangalie kwa makini urudi tena humu.
 
Back
Top Bottom