Mh RAISI
. embu kaangalie hilo znz port hlifanyie kazi utapunguza hawa matapeli wa makontena..
wako.ndan.na.nje.kaka hadi kwenye.mihamala.wako lakn.wanavaa nguo za.kawaida we utajua wenzio nje na.hadi kutoa.makontena wana.jezi kabisa ...na wanatoa mzigo ukiwa.na.full.docs.n watu wanapelekwa training wanajua.nn.cha.kufanya ingawa vimemo avikosekani kakaa acha tu..wanalinda physically tu au pamoja na mifumo
inayotumika kupiga miamala...?