yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Bandari ya Mtwara imeanza rasmi kuhudumia shehena ya mafuta baada ya meli ya MV STI Brooklyn kutia nanga leo Jumanne, Julai 03, 2018 ikiwa na takribani tani elfu 10 za mafuta. Hii ni mara ya kwanza kwa meli hizo kuhudumiwa katika Bandari ya Mtwara.