Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
42,433
49,102
Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu..

Taarifa ya WB inasema Bandarinya Dar sanjali na Djibouti zimeiacha Mbali Bandari ya Mombasa..

Hongera sana mkurugenzi Mpya wa Bandari na chapa kazi.
---

Dar es Salaam, Djibouti and Berbera ports have toppled Mombasa in the World Bank’s latest ranking on the most efficient ports, highlighting the competition fears that Kenya has had over Tanzania becoming a preferred route for shippers.

The third edition of the global Container Port Performance Index has ranked the Mombasa port at position 326 in 2022 out of the 348 ports worldwide that were assessed, behind the regional peers in eastern Africa.

Kenya’s main port recorded a steep decline from the 2021 report where it was placed at position 296 by the World Bank.

The ports are ranked based on their efficiency, measured by the elapsed time between when a ship reaches a port to its departure from the berth having completed its cargo exchange.

The World Bank notes that efficient operation of the port is key to the development of trade in the region, pointing out that there has been significant improvement in business since 2020 when the marine industry recorded reduced activities in the wake of the Covid-19 pandemic.

“Improving port efficiency is essential for unlocking Africa’s growth and development,” said Martin Humphreys, lead transport economist at the World Bank.

“Africa’s ports are vital gateways for trade and commerce, and efficient operation contributes to food security. Their efficient operation is a key determinant in whether Africa achieves its economic potential.”

This comes even as Tanzania’s Port of Dar es Salaam has in recent years staged stiff competition, threatening to pull most of the ships plying the East African waters into their harbour.

In the ranking, the Tanzanian port recorded improvement from the 2021 ranking to stand at position 312 from 361 previously.

Data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows the volume of cargo handled by Mombasa port dipped for the first time in five years in 2022, with players pointing to rising competition from Dar es Salaam.

Total cargo throughput at the port shrunk to 33.74 million tonnes last year from 34.76 million tonnes the year before, according to KNBS.

The 2.93 percent year-on-year drop pushed the volumes to the lowest levels since 2018 when it stood at 30.92 million tonnes.

Among the report highlights are China’s Yangshan Port, which topped the ranking despite periods of heavy disruption caused by typhoons and various other factors in 2022.

The Port of Berbera (144), Djibouti (26), Port Elizabeth (291), Durban (341) and Cape Town (344) are among the ports that were assessed in sub-Saharan Africa.

Source: Business Daily

My Take

Kwa nini Wafanyabiashara walipogoma walikuwa Wanasingizia Bandari wakati wanajua ni uongo?
Serikali isifumbie hujuma za Uchumi zinazofanywa na kikundi Cha watu wachache Kwa maslahi Yao binafsi..
 
Hujui kwamba wafanyabiashara wa Tz wanatumia bandari ya Kenya??, bongo import duties & taxes ziko juu sana.
Mzigo usingeongezeka Bandari ya Dar na Kupungua Bandari ya Mombasa, acha kukariri
20230418_160743.jpg
 
Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu..

Taarifa ya WB inasema Bandarinya Dar sanjali na Djibouti zimeiacha Mbali Bandari ya Mombasa..

Hongera sana mkurugenzi Mpya wa Bandari na chapa kazi..

My Take
Kwa nini Wafanyabiashara walipogoma walikuwa Wanasingizia Bandari wakati wanajua ni uongo?
Serikali isifumbie hujuma za Uchumi zinazofanywa na kikundi Cha watu wachache Kwa maslahi Yao binafsi..

Fahamu kwamba ukimpita Mombasa haimaanishi eti Bandari yako inafanya Vizuri, ukiangalia hio rank bado Wote Tanzania na Kenya tunashika Mkia kwenye Bandari za Hovyo.

Hapo ni kama Mtoto wa 10 toka mwisho amcheke mtoto wa 5 toka mwisho.

Kwenye Hio list kuna Bandari 348 sisi tumeshika 312 kuna jambo gani la kujivunia?

Djibout wapo 26 wao angalau wanaweza kujisifia.
 
Tuko kwenye right track in Jiwe's voice
 
Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu..

Taarifa ya WB inasema Bandarinya Dar sanjali na Djibouti zimeiacha Mbali Bandari ya Mombasa..

Hongera sana mkurugenzi Mpya wa Bandari na chapa kazi..

My Take
Kwa nini Wafanyabiashara walipogoma walikuwa Wanasingizia Bandari wakati wanajua ni uongo?
Serikali isifumbie hujuma za Uchumi zinazofanywa na kikundi Cha watu wachache Kwa maslahi Yao binafsi..
Utakuwa umetumwa na Mkurugenzi kumsifia
 
Adui akikusifia inatakiwa ujiuluze mara mbili
 
Back
Top Bottom