Bandari ya Dar es Salaam kutumika zaidi

waltham

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,522
1,045
dar+port.jpg

The port of Dar es Salaam is the most expensive for importers in the region, besides being the slowest in clearing goods, a new report by the Shippers Council of Eastern Africa (SCEA) shows.

But transporting goods from the port of Mombasa through Kenya is more expensive than freight through Tanzania, the report finds.

Dar es Salaam charges wharfage as a percentage of the value of the cargo, 16 per cent for domestic imports, 12.5 per cent for transit imports and 1 per cent for domestic and transit exports.

In contrast, Dar es Salaam's main business rival, Mombasa, charges wharfage at a flat rate of $70 for a 20-foot container and $105 for a 40-foot container.
Wharfage is the fees charged by a port for goods staying in its yards before they are cleared.

"This is a disadvantage for shippers who import through the Dar es Salaam port, as high value will attract higher port charges," said Gilbert Langat, the Kenya Shippers Council chief executive officer.

However, it costs $4,800 to transport a standard 40-foot container cargo from, Mombasa port through the Northern Corridor to Kigali, $6,500 to Bujumbura and $7,000 to Goma in the Democratic Republic of Congo. From Dar es Salaam, the costs are $4,300 to Kigali, $4,500 to Bujumbura and $4,700 to Goma.

Traders in Kampala and Juba, however, find it cheaper to move goods from Mombasa through the Northern Corridor, because the distance is much shorter than through Tanzania.

The 2014 Logistics Performance Survey launched in Nairobi a week ago also shows that rail costs per kilometre a standard 20-foot container are $1.24 if handled by Tanzania/Zambia Railways Authority network and $2.66 by the Kenya/Uganda network.

"It is, therefore, clear that Tanzanian shippers pay three times less freight charges railway services than their Kenyan counterparts," the survey says.

The report shows that average cargo dwell time at the Dar es Salaam port is 10 days, compared with three days in Mombasa, down from five days last year.

The international benchmark for dwell time is less than three days.

Industry players attribute the improvements at the Mombasa port to recent efforts made by Kenya, Rwanda and Uganda - the Coalition of the Willing - to remove logistical bottlenecks.

"We expect this to improve even more to meet the international standards," said Meshack Kipturgo, managing director of Siginon Group, a Kenyan logistics company.
 
umesoma tariifa yote au ni kero za mombasa port imetajwa. mbona uvivu wa kusoma!!!!

Nimecoment post ambayo ulikwa hujaedi, ukasema urefu wa central corridor, nikauliza urefu kutoka wap had wapi?
 
Nimecoment post ambayo ulikwa hujaedi, ukasema urefu wa central corridor, nikauliza urefu kutoka wap had wapi?
mimi amenichekesha anapoongelea garama za TAZARA kusafirisha mizigo kwenda Burundi, Rwanda, Congo na Uganda, nikajua huyu au yule aliyeandika hiyo article haijui vizuri Tanzania.

Tangu lini tazara ikasafirisha mizigo kwenda huko? hajui kama kuna reli ya kati tofauti kabisa na Tazara. wakenya wanahangaika kweli, ni sawa na Japan alivyokuwa anahangaika dhidi ya china, na kwa sasa china walishawapiku muda mrefu wanawatimulia vumbi tu.
 
Huu ndio muda muafaka hawa vijana wetu wa usala wa taifa na wachumi kuanza kuliangalia taifa hili na kuwa wabunifu wanapopeleka maoni yao ya uchumi kwa nchi.
Hv tunavyoongea ni kwamba wao wanajenga leli inamaana baada ya muda hali itabadika na hizo siku tafu za kutoa mzigo zitawapa faida sana.
Kwa sasa Tanzania inTonza karibu sawa ya pesa ya bei ya mzigo huko Japan kama kodi.Achana na hiyo inayopita. Mbona tutafilisika na kufikiria ulinzi wa nchi zidhi ya vita wakati vita HAMNA inabidi tuwena mipango ya uchumi usio kufa.Mfano uwanja wa ndege ni lami,idara ya hewa na rada lkn hv vitu vinakuwa ni shida kujengwa viwanja kila mkoa.
Bala Bala ngumu tumeacha kujenga Matokeo yake tukiona maloli tunaona kama yanaonea njia.

Basi kwa kipindi hiki ambacho uchumi unategemea bandali na mizigo wangeboresha miundombinu hadala ya kutumia vile vile mpaka vinachoka.
 
Napenda jinsi watz ni wavivu wa kusoma taarifa.hata source ya taarifaa haangalii ana comment tu gizani. balaa hili.
 
Mkaushie, kuna wakati anakurupuka sana

si unajua kichaa wewe mtoto ndani ya diapers. comment zako zipotezi muda nazo kwani kusoma usomi ni uvivu tu, verbal diarrhea ugojwa wa tz kawaida inferiority complex na kichwa mchangani.haamini mwanzake anaweza mpipu kwa jambo lolote
 
Nguvu ya hoja mkuu

Matusi peleka kibera na kwa waz.azi wako

a sick man.mtungi mtupu kelele tele. kila mada upo na mchango wa kiupusi. claims to know everything on earth lakini master of none.
 
The port of Dar es Salaam is the most expensive for importers in the region, besides being the slowest in clearing goods, a new report by the Shippers Council of Eastern Africa (SCEA) shows.

JIBU: SIO KWELI NI THE MOST EXPENSIVE NA SLOWEST Hii ripoti ya SCEA ni ya kishabiki mno na ipo
biased inalenga kuchafua bandari yetu kwa manufaa ya kikundi cha watu Fulani, kajipangeni
upya!

But transporting goods from the port of Mombasa through Kenya is more expensive than freight through Tanzania, the report finds.

JIBU: Ona mnavyojichanganya KWANI MNAZUNGUMZIA SEKTA GANI HASA HUWEZI
KUCHANGANYA MBINGU NA BAHARI NI VITU 2 TOFAUTI?

"This is a disadvantage for shippers who import through the Dar es Salaam port, as high value will attract higher port charges," said Gilbert Langat, the Kenya Shippers Council chief executive officer.

JIBU: Mbona mmeongea na upande mmoja tu wa Kenya vipi kuhusu opinion za Watanzania, mpo
biased sana na taarifa yenu hii ya kupika.

Traders in Kampala and Juba, however, find it cheaper to move goods from Mombasa through the Northern Corridor, because the distance is much shorter than through Tanzania.

JIBU: Hapa ni jambo la viwango vya kichumi hakuna jipya, ni sawa na tanzania ilivyo na fursa za
kuhudumia nchi za Zambia na DR Congo

The report shows that average cargo dwell time at the Dar es Salaam port is 10 days, compared with three days in Mombasa, down from five days last year.

JIBU: Sio kweli kwa sasa dwell time ni siku 3 ndugu zangu tokeni kwenye kupika ripoti kwa maslahi
yenu.
The international benchmark for dwell time is less than three days.

JIBU: Na hapo ndipo bandari yetu ya dar es salaam ilipo kwa sasa.

Industry players attribute the improvements at the Mombasa port to recent efforts made by Kenya, Rwanda and Uganda - the Coalition of the Willing - to remove logistical bottlenecks.

JIBU: Hili ndio mliotaka kulisema mmezunguka mbuyu sana

"We expect this to improve even more to meet the international standards," said Meshack Kipturgo, managing director of Siginon Group, a Kenyan logistics company.

JIBU: Source wenu wote ni wakenya hamkuwaona watanzania HILI LIMEFANYA TAARIFA YENU
KUWA YA UPANDE MMOJA TU? kajipangeni upya mmepika taarifa, kama hujafanya utafiti
usikurupuke
 
Hiv ni kwanini watu wanafatilia maisha ya wenzao? Hamuoni kama mnatafuta chuki bure tu? Kwa nini msiwashawishi watu wawekeze kwa kujitangaza tu na kutoa huduma bora?
 
Traders in Kampala and Juba, however, find it cheaper to move goods from Mombasa through the Northern Corridor, because the distance is much shorter than through Tanzania.

hivi kweli mtu anaweza kusafirisha mzigo from Juba to Dar port?
 
Hiv ni kwanini watu wanafatilia maisha ya wenzao? Hamuoni kama mnatafuta chuki bure tu? Kwa nini msiwashawishi watu wawekeze kwa kujitangaza tu na kutoa huduma bora?

by any chance umewaifika chuo kikuu masoma ukasikia ECON 101?????????
 
your point!!!!!!!!!is it true or false.

it doesn't make sense to even think and put it in writing about logistical transportation from Juba to Dar port....unless you have no idea of Geographic location of two cities
 
a sick man.mtungi mtupu kelele tele. kila mada upo na mchango wa kiupusi. claims to know everything on earth lakini master of none.

Sijaona hoja hapo, matusi ni kawaida yako, sishangai.
 
Back
Top Bottom