Bandari ya Bagamoyo Watanzania wako pamoja na Rais Samia, wazee wa Bagamoyo watoa neno zito

Ingeleta maana kama ingekuwa ni wazee wa Mtwara, Tanga au Arusha ndio wamesema hayo.

Of course lazima waunge mkono; hao ni wazee wa Bagamoyo na bandari inataka kujengwa Bagamoyo!

Do you really expect them to shoot themselves in the foot!!!
Nyerere wakati anapambana na wakoloni alikwenda Bagamoyo sio tanga
 
Mlikuwa wap ujenzi wa uwanja wa ndege kijijini
Ivi mkuu inawezekana wewe ukawa ni mtanzania kweli? Magufuli alijitaidi kutuelezea kwa uchache kilichopo kwenye mkataba... Na sio kama huo mradi hatuutaki hapana tunataka mkataba wake uwe wazi tujirizishe kama hatupigwi!!! Ikibainika hakuna mashariti yakibwege then sawa lakini pia kwann bandari bagamoyo na kunabandari kurasini / Posta? Hii nchi nafikiri ujinga ni mwingi ndo sababu atutoboi haya nikuulize tutapata faida gani kama taifa kwa iyo bandari ya apo bagamoyo?

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Mkataba hauwekwi wazi na bandari itajengwa

We hutakuwa na la kufanya zaidi ya kulialia na kutia huruma JF.
 
Wananchi wa Bagamoyo waishukuru Serikali ya CCM. Ni baada ya miaka kadhaa ya sintofahamu kuhusu ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliositishwa kutokana na viongozi wa awamu ya tano kukosa ten percent.

Wananchi wa Bagamoyo wamemshukuru Rais Samia kwa maamuzi yake ya kufufua mazungumzo ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na kuahudi kumuunga mkono.

Mkazi wa Bagamoyo Mzee Maulid Idrisa amehoji wanaopinga mradi wa Bagamoyo walikuwa wapi kupinga mradi wa ujenzi wa uwanja wa ndege Chato. Amemalizia kuwa kama hawakupinga ujenzi wa uwanja wa ndege kijijini wamuache Rais Samia afanye kazi yake kwenye bandari ya Bagamoyo.

Rais Samia
#Kazi Iendelee
Siasa za kijinga, ulipita kwa watanzania ukawauliza? ujinga ujinga tu
 
Mkataba hauwekwi wazi na bandari itajengwa

We hutakuwa na la kufanya zaidi ya kulialia na kutia huruma JF.
Kwaiyo wewe unachukulia mimi nimetia huruma? Me nahurumia kodi zetu wananchi ukiwepo na wewe mkuu.... Inawezekana nisiwe nalukafanya lakini Jua hii itatuathiri wote mimi na wewe, kama una bisha subiri muda ufike ndo utajua mimi na wewe nani anaelia lia

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Hii bandari ya Bagamoyo sidhani kama itajengwa tena kwani sasa itajengwa Zanzibar ndio kitakua kituo kikuu na bandari huru (free port) kwa ajili ya nchi za China na Waarabu. Mazungumzo nafikiri yamekamilika Bandari hiyo itakuwa Zanzibar. Hakutakuwa tena na haja ya kwenda China kila kitu kitakuwa Zanzibar badala ya Bagamoyo period.
 
Back
Top Bottom