Bandari ya Bagamoyo Watanzania wako pamoja na Rais Samia, wazee wa Bagamoyo watoa neno zito

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,066
2,000
Wananchi wa Bagamoyo waishukuru Serikali ya CCM. Ni baada ya miaka kadhaa ya sintofahamu kuhusu ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliositishwa kutokana na viongozi wa awamu ya tano kukosa ten percent.

Wananchi wa Bagamoyo wamemshukuru Rais Samia kwa maamuzi yake ya kufufua mazungumzo ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na kuahudi kumuunga mkono.

Mkazi wa Bagamoyo Mzee Maulid Idrisa amehoji wanaopinga mradi wa Bagamoyo walikuwa wapi kupinga mradi wa ujenzi wa uwanja wa ndege Chato. Amemalizia kuwa kama hawakupinga ujenzi wa uwanja wa ndege kijijini wamuache Rais Samia afanye kazi yake kwenye bandari ya Bagamoyo.

Rais Samia
#Kazi Iendelee
 

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,066
2,000
Wametoa Maneno lini??

Naona mnapambana na Polepole , pole pole keshajitoa Mwanga, hajali cha ubunge wala nn!!.

Alafu Bagamoyo ni kijisehem kidogoooo sana Hapa Tanzania chenye wakati wachache, naivo kina wazee wachache pia.
Mlikuwa wap ujenzi wa uwanja wa ndege kijijini
 

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
3,868
2,000
Magufuli (RIP) keshafariki ameenda lakini kuna watu bado haitoshi tu ? Mnataka nini sasa zaidi ya hapo ? kamfukueni basi muuburuze mwili mpaka mridhike labda itawasaidia Kisaikolojia.

Kama ni Vita mlishashinda sasa ni nini kinawasumbua?

Furaihieni ushindi wenu, nchi kawaachia kila kitu mnacho sasa ni nini shida ? ajabu washindi ndiyo wanaopata tabu …
 

hydroxo

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
1,926
2,000
Wametoa Maneno lini?

Naona mnapambana na Polepole , pole pole keshajitoa Mwanga, hajali cha ubunge wala nn!!.

Alafu Bagamoyo ni kijisehem kidogoooo sana Hapa Tanzania chenye wakati wachache, naivo kina wazee wachache pia.
Polepole ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine waliojaa Tanzania.

Zama zake za kupiga simu na kuwakoromea mawaziri zimeshapita akubaliane na hilo.

Mengine yote anayofanya ni upuuzi tu ambao hata yeye anajua hauna msaada wowote kwake.

Akubali mungu wake ameshakufa.
 

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,066
2,000
SI mnamtumia kama reference mwacheni Rais Samia apige kazi
Magufuli keshafariki ameenda lakini kuna watu bado haitoshi tu ? Mnataka nini sasa kamfukueni basi muuburuze mwili mpaka mridhike labda itawasaidia.
Kama ni Vita mlishashinda sasa ni nini kinawasumbua ?
 

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
3,868
2,000
SI mnamtumia kama reference mwacheni Rais Samia apige kazi

Kwani ni nani kamzuia Samia ,,kupiga kazi“ ? Labda anajizuia mwenyewe tu kwani ni Raisi wa nchi Kikatiba anaweza kufanya anavyotaka, kama ni hiyo Chato inawasumbua mnaweza hata ipiga mabomu mkitaka kila kitu mnacho …
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
11,816
2,000
Soma hiyo!
Acha wajinga wapige kelele lkn bandari ya Bagamoyo itajengwa. Mengi yameshafnywa yakiwemo:-

1. Hivi tunavyoongea leo 4/12/2021 wakazj wa eneo litakapojengwa bandari wanapokea fidia za makaburi ya ndugu zao.

2. Chuo cha Mbegani kinahamishiwa Kilwa.

3. Na wenye akili za kibiashara Kama akina mzee Bakhresa tayri wameanza kujenga magodauni ya kuhifadhia mizigo.

Sasa wewe mfuasi wa Polepole na Polepole mwenyewe endeleeni kubwabwaja

Asante G4N
 

Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
5,800
2,000
Acha wajinga wapige kelele lkn bandari ya Bagamoyo itajengwa.

Hivi tunavyoongea leo 4/12/2021 wakazj wa eneo litakapojengwa bandari wanapokea fidia za makaburi ya ndugu zao.

Na wenye akili za kibiashara Kama akina mzee Bakhresa tayri wameanza kujenga mahodown ya kuhifadhia mizigo.

Sasa wewe mfuasi wa Polepole na Polepole mwenyewe endeleeni kubwabwaja.

Acha waendelee kupiga kelele huku wenye akili za kibiashara wakifanya yao 😁
 

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,066
2,000
Kwani ni nani kamzuia Samia ,,kupiga kazi“ ? Labda anajizuia mwenyewe tu kwani ni Raisi wa nchi Kikatiba anaweza kufanya anavyotaka, kama ni hiyo Chato inawasumbua mnaweza hata ipiga mabomu mkitaka kila kitu mnacho …
Mwacheni Samia ajenge bandari
 

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,066
2,000
Acha wajinga wapige kelele lkn bandari ya Bagamoyo itajengwa. Mengi yameshafnywa yakiwemo:-

1. Hivi tunavyoongea leo 4/12/2021 wakazj wa eneo litakapojengwa bandari wanapokea fidia za makaburi ya ndugu zao...
Ndio maana tunasema mitano tena Samia
Kazi iendeleeee
 

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,049
2,000
Wananchi wa Bagamoyo waishukuru Serikali ya CCM. Ni baada ya miaka kadhaa ya sintofahamu kuhusu ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliositishwa kutokana na viongozi wa awamu ya tano kukosa ten percent...
Ingeleta maana kama ingekuwa ni wazee wa Mtwara, Tanga au Arusha ndio wamesema hayo.

Of course lazima waunge mkono; hao ni wazee wa Bagamoyo na bandari inataka kujengwa Bagamoyo!

Do you really expect them to shoot themselves in the foot!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom