Wewe ni MUONGO!!Mara baada ya kifo cha Magufuli ,Ndugai ndiyo alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kuwa serikali lazima iendelee na ujenzi wa bandari na kwamba Magufuli alipotosha.
Laana ya kumsaliti Magufuli itang'oa wengi na bado.
Kichwa maji . Huna ulijualo zaidi ya kusifia mizinga/wafu.Msalimie mmeo gaidi
Kichwa maji . Huna ulijualo zaidi ya kusifia mizinga/wafu.Msalimie mmeo gaidi
Kwa kweli Ndugai stance on the Bagamoyo issue has been straight forward.Wewe ni MUONGO!!
Hata wakati wa JPM, msimamo wa Ndugai kuhusu Bandari ya Bagamoyo ulikuwa ule ule ambao aliutaja wakati wa SSH!!!
Hata wakati JPM akiwa hai, Ndugai aliishangaa serikali ya JPM inavyosita sita kuhusu Mradi wa Bandari ya Bagamoyo!
Na hakuna mfuasi wa Mradi wa Bandari anayeweza kupinga mradi wa SGR lakini ni mwehu tu ndie anaweza kushangilia SGR isiyo na mkakati wa namna gani itakuwa utilized!!
Yule alikua nabii wa munguBado hawajamjua vizuri JPM. Kila mwenye kumdhihaki atapata kikombe chake na kila mwenye kumbeza kwa namna yoyote ile, naye hatabaki salama.
Tayari SGR ya dizeli ipo Kenya na inafqnyakazi kwa miaka 5 sasa ,sijui wewe unazungumzia bandari ipiWakati sisi tunachaniana nguo kuhusu Bandari ya Bagamoyo tayari Kenya wameshapindua meza Wachina sasa hawana mpango tena na SGR na Bagamoyo port wamehamishia Kenya, Lamu, Dhibuti na SGR ya Kenya itajengwa kwa ufadhili wa China toka Mombasa hadi Uganda, Rwanda, Bunrundi, Congo, South Sudan. Ethiopia hadi Eritrea na kuiuunganisha na Kenya. Sisi huku tunademka tu ooh Magu alikataa basi tusikubali Bandari ya Bagamoyo ijegwee.
We are not on the same page man.Tayari SGR ya dizeli ipo Kenya na inafqnyakazi kwa miaka 5 sasa ,sijui wewe unazungumzia bandari ipi
Hamna mradi uliohamishiwa Kenya...Wakati sisi tunachaniana nguo kuhusu Bandari ya Bagamoyo tayari Kenya wameshapindua meza Wachina sasa hawana mpango tena na SGR na Bagamoyo port wamehamishia Kenya, Lamu, Dhibuti na SGR ya Kenya itajengwa kwa ufadhili wa China toka Mombasa hadi Uganda, Rwanda, Bunrundi, Congo, South Sudan. Ethiopia hadi Eritrea na kuiuunganisha na Kenya. Sisi huku tunademka tu ooh Magu alikataa basi tusikubali Bandari ya Bagamoyo ijegwee.
Upo sahihi kabisa...Kwa kweli Ndugai stance on the Bagamoyo issue has been straight forward. The viability of the project.
Kwa msimamo usiyoyumba Tunampongeza
Sasa kwanini na wewe usijenge hoja zako yenye maslahi kwa taifa?! JF ni jukwaa la kuelimishana, kwahiyo mwaga nondo, mzee!Shida ya Waafrika tumeenda shule lakini bado ni wajinga sana. Yaaani hakuna kitu tunathamini kama maslahi binafsi. Hapa kuna wengine mnajenga hoja ilimladi tu unanufaika na unachokiamini. Oooh! Africa ..
Kama wachina watapitishia mizigo yao bagamoyo ,bandari ya Dar itakuwa na kazi gani?Hamna mradi uliohamishiwa Kenya...
Kilichopo ni kwamba, tangu zamani Kenya wali-fight sana ule Mradi wa Bandari ya Bagamoyo na SGR yake uwe Lamu, na hatimae ku-serve East and Central Corridor lakini bado Mchina aliendelea kuweka interest yake Bagamoyo!!
Sasa kwa hofu kwamba Bandari ya Bagamoyo ingeimeza Mombasa, ndipo Kenya wakaamua kuendelea na Lamu Project huku wakihamisha focus from East and Central Corridor na ku-target north... South Sudan and Ethiopia!!
Role ya Mchina kwenye hiyo miradi ni kukopesha tu kama ambavyo walifanya Sri Lanka, na sio kama walivyokuwa wamekusudia Bagamoyo!!
Na hapa Kenya wakeshe wakisali Bandari ya Bagamoyo isijengwe kwa sababu ikijengwa, Kenya itapata shida sana kulipa madeni yake kwa sababu, China ambayo ndie exporter mkubwa duniani , mizigo mingi kutoka huko kuingia kanda hii ya Afrika itakuwa inafikia Bagamoyo!
Tatizo kubwa la kwanza, watu mnaangalia the next 5 to 10 years!!Kama wachina watapitishia mizigo yao bagamoyo ,bandari ya Dar itakuwa na kazi gani?