Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipigaje? Tupe ushahidi wa kupiga kwake?Mzee wa Msoga ni twasira halisi na kamili ya mwafrika...UPIGAJI punde upatapo nafasi.
Hujanijibu mkuu. Ila umetoa povu tu kwa kitu ambacho hata wewe unahitaji majibu.Endelea kuamini mawazo na chuki za watu ambao kwao wanaua vikongwe kwa sababu wana macho mekundu Kwa kaamini kuwa ni wachawi!
Labda kama na wewe ni mmoja wapo kama mwenzako Suzy Elias maana ndo Naona mmeanzisha id mpya humu Kwa mikakati yenu ya kutengeneza nadharia na matango Pori kuwadanganya watu kwa chuki zenu tu!
Wewe Kikwete auze Gesi au Eneo la Bagamoyo alafu na Whistleblowers wa WikiLeaks au Panama papers huko wasione au kusema popote?
Kwamba Richmond hujawahi isikia?Alipigaje? Tupe ushahidi wa kupiga kwake?
Nini msingi wa swali lako?Hujanijibu mkuu. Ila umetoa povu tu kwa kitu ambacho hata wewe unahitaji majibu.
Andika tena AU subiri majibu.
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.Nini msingi wa swali lako?
Kwani RICHMOND ilikuwaje?Kwamba Richmond hujawahi isikia?
Jamaa anavunga hajuiKwamba Richmond hujawahi isikia?
Hebu punguza kiherehere, umejigeuza msemaji wa kila kiongozi humu ndani.Endelea kuamini mawazo na chuki za watu ambao kwao wanaua vikongwe kwa sababu wana macho mekundu Kwa kaamini kuwa ni wachawi!
Labda kama na wewe ni mmoja wapo kama mwenzako Suzy Elias maana ndo Naona mmeanzisha id mpya humu Kwa mikakati yenu ya kutengeneza nadharia na matango Pori kuwadanganya watu kwa chuki zenu tu!
Wewe Kikwete auze Gesi au Eneo la Bagamoyo alafu na Whistleblowers wa WikiLeaks au Panama papers huko wasione au kusema popote?
Hata ukijua itasaidia nn?Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.
1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?
2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Chek huyu naye yaani unaomba upewe majibu ya uongo , hii nchi la Saba wengiKikwete anatakiwa atujibu kuhusu hii gesi kwa roho nzuri tu, hesi ilikwenda wapi hii, atoe maelezo hata ya uongo tu.
Zaid ya MUNGU"UNAPOKUWA RAIS NA MWENYEKITI UNAKUWA NA NGUVU KWELIKWELI" JK