Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndiyo yale yaliyosemwa na Marehemu?

Twambie gesi inayozalishwa kwa sasa ni yetu au sisi tunaitumia kwa kununua kwa hao wenye nayo?

je kikwete alipoweka jiwe la msingi bandali ya bagamoyo mkataba ulikua bado au ulikua umefungwa tayali, au makubaliano ya awali yalikua yapo au hayakuwapo?

Je jambo hilo linawezekana kuzindua bila makubakiano?
Kama mkataba ulikuwepo weka hapa tuusome

Acha kupiga ramli
 
Tangu lini sisi wadanganyika tumenufaika na lolote ??

Tanzanite ni yetu lakini anaifaidi Kenya.

Gesi ni yetu ila wameshachukua wajanja.

Hata hiyo bandari utaishia kuiona kwenye Tv tu mkuu.
 
Huna lolote ujue kuhusu Richmond ww kama Nani.... Umebaki kusema alikula hela, nchi nzima hii ww ndo unaejua alikula hela, usiongee jambo hujui wala huwez lijua wala halipo mahala popote kiushahidi.. Huo ndo utoto na ulimbukeni.
Kwahio nchi nzima mie ndio ninaesema alikula hela. Fala kweli we jamaa!!!
 
Endelea kuamini mawazo na chuki za watu ambao kwao wanaua vikongwe kwa sababu wana macho mekundu Kwa kaamini kuwa ni wachawi!

Labda kama na wewe ni mmoja wapo kama mwenzako Suzy Elias maana ndo Naona mmeanzisha id mpya humu Kwa mikakati yenu ya kutengeneza nadharia na matango Pori kuwadanganya watu kwa chuki zenu tu!

Wewe Kikwete auze Gesi au Eneo la Bagamoyo alafu na Whistleblowers wa WikiLeaks au Panama papers huko wasione au kusema popote?
WikiLeaks hawana nguvu tena na "pioneer" wao Asange yupo jela na juzijuzi karuhusiwa kuoa akiwa humuhumo jela.

Panama Papers na Pandora Papers hutayarishwa na waandishi wa habari makini wa habari za uchunguzi.

Tanzania hadi leo haina waandishi mahiri wa habari za uchunguzi au Investigative Journalists ambao huwa na vyanzo vya habari makini na uhakika wa asilimia 101.

Ndo maana hizo habari za Gesi ya Mtwara au Bagamoyo zaishia hewani na kupotea na upepo.
 
Na wewe unaamini kuwa Bandari ya Bagamoyo imeuzwa? Kama imeuzwa kwa nini wanafanya mazungumzo upya na sie Kama sie sio wamiliki?

Achana na ngonjera na siasa uchwara za lialia fc!
 
baada ya miaka 100,ndo itakuwa yenu,kabla ya hiyo miaka hakuna pua ya mtz itanusa hata sent pale!!
 
Na wewe unaamini kuwa Bandari ya Bagamoyo imeuzwa? Kama imeuzwa kwa nini wanafanya mazungumzo upya na sie Kama sie sio wamiliki?

Achana na ngonjera na siasa uchwara za lialia fc!
Hakuna kinaoaminika hapa Bongoland.
 
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.

1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?

2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Swala la gesi tuliuzwa ndio maana haitajwi mara kwa mara ktk mipango ya maendeleo ,mchina kashikilia gesi ya mtwara ndio maana marehemu aliamua kutafuta surulisho jingine la umeme ,
 
Endelea kuamini mawazo na chuki za watu ambao kwao wanaua vikongwe kwa sababu wana macho mekundu Kwa kaamini kuwa ni wachawi!

Labda kama na wewe ni mmoja wapo kama mwenzako Suzy Elias maana ndo Naona mmeanzisha id mpya humu Kwa mikakati yenu ya kutengeneza nadharia na matango Pori kuwadanganya watu kwa chuki zenu tu!

Wewe Kikwete auze Gesi au Eneo la Bagamoyo alafu na Whistleblowers wa WikiLeaks au Panama papers huko wasione au kusema popote?
Acha ujinga!

Kama hiyo gesi ni yetu mbona hatutumii?

Whistleblowers wana whistle pale maslahi yao yanapoguswa.

Sasa gesi wanachota wao,halafu wapige filimbi ya nini?

Google Zambia under Chinese investors.

Halafu ukishasoma au kuangalia huko ndio urudi hapa JF,akili ikiwa imeishatulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom