Bandari kuuzwa: Je, Rais Kikwete katoa baraka?

Tuna hasira buddy, uzizidi kututia kichefuchefu

sio kukuchefua mkuu, kwani bora hata tungempa hii nchi lusinde ambaye angeweza kuwawadhibisha mawaziri wabovu hata kwa kuwatukana matusi kuliko huyu vasco da gama anayewachekea chekea.
 
kikwete hajui atafuatilia saangapi mafaili ikiwa mda wote yupo angani.ndio maana mawaziri wanajiamualia tu.
 
Wanabodi, yaan hili la hizi Gati 2 ndio linawachanganya namna hii! tena mfumo wa BOOT unatumika. Je hili la kutoa bandari nzima ya Mtwara kwa walebanon tena bure kabisa?

Sijui hii nchi inakwenda wapi. Nadhani OPERESHENI UWAJIBIKAJI iende sambamba na kuwashitaki hawa viongozi waliotufikisha hapa
 
OPERATION UWAJIBIKAJI, wabunge peke yao hawataweza wanahitaji support kutoka kwetu watanzania woteeeeeeee, ni vigumu kwa wabunge peke yao kutekeleza..

Mshikamano kwa watu woteeeeeeee unahitajika
 
kwa kweli hapa sina baba. nimemsikia mzee Lembeli asubuhi akieleza jinsi wanyama wanavosafirishwa kwenda Karachi kwa Waarabu roho ikaniuma sana. Ukisikia mtu anasema nchi imeuzwa usidhani anapiga porojo. AIBU GANI HII? Tunatenda dhambi kubwa namna hii ya kuuza urithi tuliopewa na Mungu? Waarabu wanatulipa nini? Mbona mafuta yanatoka kwao na bado imebaki bidhaa adimu na ghali? Kwani

Inashangaza sana sijui tumelogwa!!!!! nafikiri ni zaidi yakulogwa hivi na madudu yote hayaya bado wanaendelea kupumua na chaajabu bado tunaendelea kuwapamba .nakwambia hii nizaidi ya ku logwa.

wameuza madini yana isha sasa wakahamia kwenye umeme ,wakaona haitoshi wakaenda bandarini na sasa wamerudi kwa wanyama . na chaajabu hakuna hatua inayochukuliwa

hawaoni hata huruma watu wanakufa hosipitalini bila dawa wakidai nchi haida hela . Hivi kama tunalia nchi haina hela kulikua na umuhimu gani JK kwenda kulala kwenye mazishi? si angeeda asubuhi na kurudi jioni?

kweli bongo ni zaidi ya uijuavyo
 
That is an MoU and frame work, it is not an agreement.

Who signed it? or was it just a proposal?
 
unategemea hajatia baraka?mgeni akifika nyumbani lazima baba mwenye nyumba ajue.ni madudu matupuuuuuuuuuuuu
 
kikwete hajui atafuatilia saangapi mafaili ikiwa mda wote yupo angani.ndio maana mawaziri wanajiamualia tu.
We kidawa, mbona upo mbali sana na matukio,
Hukumuona JK akila nondo ndani ya pipa kuelekea Brazil, we unafikili pipa ni sawa na daladala zenu za mbagala.
 
Dr. Kupeng'e,
Naona ni mzito wa maamuzi, huu ni wakati wako wa kujiengua Ccm na kujiunga na CDM.
Na kuendeleza harakati za kumkomboa mtanzania na kuijenga upya Tanzania iliyoliwa na
mafisadi wa ccm, :kuhusu bandari kuuzwa je Rais Kikwete katoa baraka?
Hapo kidogo kuna mashaka na bado kitendawili, cha kujiuliza kwa nini waziri mwenye
dhamana amshushie tuhuma naibu wake, kama yeye ndio muhusika wa hayo yote,
JK ni rais wa Tanzania lakini utendaji wake wa kazi bado unamsumbua sana, yaani
umemkalia kushoto zaidi katika utekelezaji wa majukumu kwa wakati unaostahili,
Kwani tusingefika hapa tulipokuwa leo kwenye hali hii ya kutisha katika Taifa letu.
 
ila kumbuka kuna watoto wengne nux kwel anaweza kuuza gar bla ding kujua
 
Dr. Kupeng'e,
Naona ni mzito wa maamuzi, huu ni wakati wako wa kujiengua Ccm na kujiunga na CDM.
Na kuendeleza harakati za kumkomboa mtanzania na kuijenga upya Tanzania iliyoliwa na
mafisadi wa ccm, :kuhusu bandari kuuzwa je Rais Kikwete katoa baraka?
Hapo kidogo kuna mashaka na bado kitendawili, cha kujiuliza kwa nini waziri mwenye
dhamana amshushie tuhuma naibu wake, kama yeye ndio muhusika wa hayo yote,
JK ni rais wa Tanzania lakini utendaji wake wa kazi bado unamsumbua sana, yaani
umemkalia kushoto zaidi katika utekelezaji wa majukumu kwa wakati unaostahili,
Kwani tusingefika hapa tulipokuwa leo kwenye hali hii ya kutisha katika Taifa letu.

atapata wapi muda wa kusoma documents wakati mtu anasafiri kila kukicha angalia wakati nchi ikipitia kipindi kigumu yeye anauhdhuria misiba amabapo hata muwakilishi angetumwa isingeleta tofauti yeyote.
 
siamini macho yangu, hivi inakuwaje hawa watu nakumbuka waliapa kulitumikia taifa hili kwa uaminifu, huku wengine wakishika vitabu vitakatifu, la!!!!!!!!!!!! kumbe ndio hivi!!!!!!!! SI AJABU SIKU MOJA NITAJIKUTA NAMI BILA KUJUA NIMEUZWA PAMOJA N FAMILIA YANGU

Unategemea watatekelezaje ahadi za uchaguzi, ni lazima wauze raslimali zilizopo ili waweze kujenga barabara, maji, hosipitali, shule nk. chochote kinachofaa kuuzwa kitauzwa ili ahadi zitekelezwe.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom