Bandari hiyo Mtaji maji

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
11,678
2,000
Hata kupembua vyeti hawajaanza mkuu kutoka kwenye source makini.
yaah na juzi wametoka kuchukua vyeti vya waliosomea ukarani walikua wanahitajika 541....
kwa ufupi tu ni kwamba walio na vyeti feki mbioni kuondolewa na wapo wengi balaa
 
Mediocrist

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
1,597

Washatemwa sio wako mbioni maana wengine tunawaona mtaani tunaishi nao na kwa fununu kuna nafasi kama 600 hizi ni ndogo ndogo ndo maana wanataka waajiri vibarua yote kwa yote taarifa kamili mambo yakiiva tutaskia tu
 
ndio ukweli huo sasa ivi unachukuliwa kama kibarua ukipata uzoefu wanakupa mkataba
 
Mediocrist

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
1,597
2,000
Jamani bandari wameshaanza kuitwa kwa tangazo la kazi walilolitoa 28 may 2018?
Mzee nenda kaulizie pale Ulipopeleka vyeti vyako maana doh unapapara vibaya mno ila iko hivi nilivoskia watu washaanza kuitwa ila pia kama huna ndug pale omba sana dua.Kila la kheri
 
MWANA ileje

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
721
500

Acha kuwaweka watu roho juu juu kama huna source kamili c ukae kimya tu.......yaani hizo nafac mia tano ni za watu ambao hawakuwa vibarua wa pale port sabu walioondolewa kwa vyeti feki ni watu 600 so nafac mia5 ndo zimetoka nje ya pot hzo zngne 100 ndo za kuapply vibarua wa mlemle ndani
 
Haha sawa boss wangu ila kwanini nikutishe tuishie hapo Mheshimiwa tegemeo jema mkuu ukiitwa njoo utoe ushuhuda humu.BANDARI/DSM PORT haiko hivo bado kama unavofikiria labda wangepewa UTUMISHI hii kazi unafuu ungekuwepo.
 
MWANA ileje

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
721
500
Haha sawa boss wangu ila kwanini nikutishe tuishie hapo Mheshimiwa tegemeo jema mkuu ukiitwa njoo utoe ushuhuda humu.BANDARI/DSM PORT haiko hivo bado kama unavofikiria labda wangepewa UTUMISHI hii kazi unafuu ungekuwepo.
Inafuatana na idadi ya nafasi na pia usiishi kwakukalili zama zimechenj.Mwez ujao majira kama haya nitakupa mrejesho.
 
Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,867
2,000
Inafuatana na idadi ya nafasi na pia usiishi kwakukalili zama zimechenj.Mwez ujao majira kama haya nitakupa mrejesho.
Mrejesho mkuu tunaomba ilionekana una ubakika na hizi post kwa kiasi flani ushaanza kazi nini boss!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom