Banda afuta Uchaguzi Malawi, utarudiwa ndani ya siku 90

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,667
BANDA AFUTA UCHAGUZI: Rais Joyce Banda wa Malawi afuta uchaguzi mkuu wa rais uliofanyika wiki hii, adai ulijaa kasoro nyingi. Asema utarudiwa ndani ya siku 90.

Malawi's President Joyce Banda says she is annulling this week's general election - in which she was a candidate - because of voting "irregularities".

Ms Banda had earlier said Tuesday's vote had been marred by rigging, multiple voting and computer-hacking.

She said a new vote should be held within 90 days but she would not stand again in any new poll.

However, correspondents say it is unclear whether the Malawian president has the power to order an election.

"I am nullifying the elections, using the powers invested in me by the Malawi constitution," Ms Banda told a news conference, according to Reuters.

"I want to give Malawians an opportunity to choose a candidate of their choice in a free and fair manner. When elections are to be held again, I will be stepping aside," she added.

Late on Friday, the Malawi Electoral Commission (MEC) said rival candidate Peter Mutharika had taken a lead of 42%, with 30% of votes counted. Joyce Banda was in second place with 23%, the commission said.

Mrs Banda had previously accused a party, which she did not name, of infiltrating and hacking the MEC's counting system.

The MEC's chairman denied that its system had been hacked.

Chaotic scenes
In a previous statement about the elections, Mrs Banda had said that irregularities included

The arrest of presiding officers who were "caught in the act of rigging"
Some people voting up to three times
"Serious anomalies" where some candidates won more votes than the number of registered voters
Discarded and tampered ballots
Communication devices of some monitors being blocked
Voting had been chaotic, with one BBC correspondent reporting people voting two days on from election day because of delays in distributing election material.

Frustrated voters set one polling station alight and smashed election material at another.

In some places, voting boxes or lids did not arrive so officials used buckets and plastic wrap.

Around 7.5 million people were eligible to vote in the fifth elections since the end of one-party rule 20 years ago.

This was the first time that Malawi held presidential, parliamentary and local elections on the same day.
 
Kutoka BBC ni kwamba Rais wa Malawi amevunja uchaguzi unaoendelea sasa.Uchaguzi utaanza tena baada ya siku 90 na yeye hatagombea

===========================================================


President of Malawi Dr Joyce Banda has nullified the whole electoral process with effect from Saturday, May 24 2014.
Citing Section 88(2) of the Malawi Constitution which stipulates that the President shall provide executive leadership in the interest of national unity in accordance with this Constitution and the laws of the Republic, President Joyce Banda said in light of this section, it was her duty to protect the Malawian republic after noting that the electoral process had numerous irregularities that many could bear testimony to.
"The Mec chairman himself admitted having discrepancies in the electoral process. For instance, some centers registered twice the numbers of initial registered voters," she said speaking live on Zodiak Broadcasting Station
She said it was not in her interest to stand for presidency in the elections to follow, she just wanted to give Malawians an opportunity to fairly elect a leader of their choice.
Experts said the Constitution does not give the president the mandate to nullify the elections. Asked to comment on this mandate Joyce Banda said the matter is up to the Attorney General to clarify.
Malawi Law Society said President Joyce Banda had no legal mandate to stop the electoral process and call for a fresh election in 90 days.
MLS President Mandala Mambulasa said legally, the Malawi Electoral Commission (MEC) cannot be challenged on the electoral process until final results are released.
"She has no constitutional mandate to suspend vote counting," he said
Addressing his staff, Mec Chairperspn Maxn Mbendera urged them to continue working,
"We have a duty to give Malawians the results and so stick with me and God bless you."
Constitutional Law expert Professor Edge Kanyongolo told the press the President has no powers to suspend elections with Section 88 Subsection 2 of the Malawi Constitution which President Joyce Banda quoted earlier after calling for the suspension of the elections and calling for fresh ones where she said she will not contest.
""I am puzzled, i am struggling to see how the cited section 88(2) gives the President the power to do that, it only gives her general power but not specific powers over election,"he said
 
Rais Joyce Banda wa Malawi ameamuru kusitishwa mara moja kwa shughuli ya kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo ulifanyika jumanne iliyopita.
Akizungumza Ikulu mjini Lilongwe muda mfupi uliopita ameiamuru Tume ya uchanguzi MEC kusitisha shughuli hiyo na kutangaza kuwa uchaguzi urudiwe ndani ya siku 90 kutoka leo na kwamba yeye hatogombea tena urais wa nchi hiyo.
Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amearifu kutoka mjini Lilongwe kuwa Dr Banda amesema amelazimika kuchukua hatua hiyo kutokana na kile alichokiita kuvurugwa kwa mtiririko mzima wa shughuli za upigaji kura,kuhesabu na hata namna ya kusimamia utoaji wa matokeo yake.
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ya Malawi Jaji Mackson Mbendera amesema kuwa anawasiliana na mwanasheria mkuu wa serikali ili kuangalia uwezekano wa amri hiyo ya Rais kutekelezwa na kama haijavunja sheria ya nchi.

Source: BBC
 
kama ni aibu kashaipata tayari, ndo shida ya wazee wanaong'ang'ania madaraka kama walizaliwa nayo
 
Peter Mutharika alikuwaanachukua nchi kiulaini bila chenga.Nadhani Bi Joyce Banda anataka kuteam up na mshindi wa tatu ili kumzuia Peter asikanyage ikulu.
 
Kwa walioipitia katiba ya Malawi, je, ana mamlaka hayo au anatumia ubabe?
 
Viongoz wa kiafrika bado kazi hipo.Walioko madarakani hawataki kuachia madaraka kwa amani
 
Madaraka hayo kayatoa wapi?...

Huyu mama, kasahau kuwa yeye ni mmoja wapo tu ya wagombea wa u-Rais wa Malawi kwa sasa....:confused:
 
Hiyo mamlaka anayo ? Au kapatwa na Moon so yuko confused.......madaktari wamcheki kama akipatwa na moon huwa ana loose network na kama ndivyo asiruhusiwe kuongea ....."...
 
mgogoro wa ziwa nyasa. na tanzania ..ume m cost sana huyu mama....hakujua kama malawi ni sawa na ukraine....halafu tanzania ndo urusi....amesahau kuwa asilimia kubwa ya malawi wana asili ya tanzania....amesahau kuwa kuna wanyakyusa wa tanzania, na kuna wanyakyusa wa malawi, kuna wanyaland wa kibongo na wanyasaland wa malawi,kuna wabena wa tanzania na wabena wa malawi....hii inshu ya ziwa nyasa.....asingejiingiza kwenye mgogoro....wala asingepata shida....
 
Kama Peter Mutharika kapokonywa haki ya hakika hata uchaguzi ukirejewa mara 50 lazima atashinda tu sana sana wanachofanya ni kuchelewesha ushindi wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom