Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 892
madaraka matamu ameona hajakuwa president for long hata full term moja yeye bado hajamaliza.
mgogoro wa ziwa nyasa. na tanzania ..ume m cost sana huyu mama....hakujua kama malawi ni sawa na ukraine....halafu tanzania ndo urusi....amesahau kuwa asilimia kubwa ya malawi wana asili ya tanzania....amesahau kuwa kuna wanyakyusa wa tanzania, na kuna wanyakyusa wa malawi, kuna wanyaland wa kibongo na wanyasaland wa malawi,kuna wabena wa tanzania na wabena wa malawi....hii inshu ya ziwa nyasa.....asingejiingiza kwenye mgogoro....wala asingepata shida....
Mugabe. 
anataka aingize nchi kwenye machafuko huyu mama
Nilivoona bbc wameandika hivo moyo ukalipuka nikajisemea huyu mama anataka kumwaga damu!! Wito wangu viongozi wa Africa wasimame kumshinikiza Aache kuingilia tume ya uchaguzi wamalawi wasije chinjana!!
Kwa walioipitia katiba ya Malawi, je, ana mamlaka hayo au anatumia ubabe?
Labda kwa vile anabebwa kwa mbeleko ya JeshiKwa walioipitia katiba ya Malawi, je, ana mamlaka hayo au anatumia ubabe?