Banana zoro ndani ya mgodi wa tulawaka leo

Jangakuu

Jangakuu

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
515
225
Msanii Maarufu inchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Baba Zoro pamoja na wafuasi wake Watakuwa Mgodi wa Barrick Tulawaka ,kutumbuiza kwenye Mkesha wa Sherehe za Kumaliza Mwaka, leo tarehe 15.12.2012,
 
ndiyomkuusana

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
655
250
Naona kaja kuwatumbuiza Vijana wa Mgodini safi sana kazi na dawa
 
Top Bottom