Banan. . . . .

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Wa rchuga wing mpooooo??? Hebu jibuni tuhuma hii kuhusu nywaji tajwa hapo juu. Inasemekana ukilibugia kinywa kinanuka kama tundu la choo cha shimo kilichojaa nyesi. Inasemekana kinanywewa na masela tu. Inasemekana ni kigumu kumeza kama sifongo. Sababu ya kuleta uzi ni kwamba, mwanzoni kilikuwa kinapatikana kwenye baa za kienyeji tu lakini sa iv kinajipenyeza hadi kwenye bar maarufu. Ushauri wangu ni kwamba, mwambieni huyo mwenye kiwanda aboreshe hiyo kitu yake asije akawaua masela na hiyo sumu yake!!!
 
Banana ni nzuri sana. Na sasa ivi zinapatikana sehemu nyingi sana... hata ki afya ipo muzuri
 
Back
Top Bottom