ban ya maisha nimefufuka

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
82
bandugu habari. nimekula ban nene sana ya maisha sasa nimekuja upya ......napenda kudiclea interest yangu. mi ni chadema wa kufa na kuzikana.....
 
Karibu mjomba, sisi hatujambo sijui ndugu zako uliowaacha makabulini baada ya wewe kukufuka awajambo pia?
Anyway, karibu sana and take care of yourself ili usije ukafaliki tena na tukakupoteza kwa mara nyingine ndani ya jumuiya ya wana JF.
 
bandugu habari. nimekula ban nene sana ya maisha sasa nimekuja upya ......napenda kudiclea interest yangu. mi ni chadema wa kufa na kuzikana.....

kwani ukiwa cdm ndio hutakula ban mkuu.. karibu jamvini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom