Ban maker, ban leader

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Jamani leo nataka members wote tujadili pia tuangalie ufafanuzi na usuluhishi.

Kati ya Members wote humu JF ni member gani anayeongoza kwa kuwasababishia members wengine kupigwa BAN?

Pia ni member gani humu JF anayeongoza kwa kupigwa BAN nyingi?

Pia ni member gani ambaye amehukumiwa miaka mingi ya BAN?

Natumaini kuwa hapa Mkuu Paw pamoja na Invisible watatusaidia kuleta majibu zaidi kwa kushirikiana na members wengine
 
Last edited by a moderator:
kuna watu kama malaria sugu na faiza,hao walikula ban mazima,
ila kuna wengine kama@Tbag hatari nadhani pia anaongoza
 
Mie hua napata mshituko wa moyo kila nikisikia au kusoma habari za hi kitu Ban,
Hua namwomba mungu aniepushie mbali,

Na mie nasubiri hapa niwajue na kuwapa pole!
 
mimi kuna id yangu imekula ban hadi 2014
sijui iliua mtu jamani....
toka mwaka jana ....
kiukweli huwa simuelewi Invisible
 
Huo mjadala utasaidia nini?

Hujambo Lizzy! Karibu sana baada ya mkasa uliokupata.
Mjadala huu nia yake ni kudhibiti Ban hapa JF. Zimefuliliza mno kwenye hii robo ya kwanza ya mwaka.
 
hili jambo la Ban nalisikia tu, ila bado sijajua ukifanya kosa gani ndio unapata iyo ban...naomba kuelimishwa
 
.. Nicas Mtei kama hii ingekua ni morning kwiz hapo nina sufuri...yani ni sijui mwa mwi!
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei na HYGEIA bado sijawa convinced na reasons zenu mkitetea mjadala huu uendelee...
Binafsi sababu yangu moja kubwa,ni hata hao ma mods kama walivyo binadamu wengine,wana UDHAIFU katika maamuzi sahihi ya kumlamba mtu BAN..

Mngesema mnajadili sheria ndogondogo na au miongozo ya JF,ambayo ikikiukwa kwa mujibu wa taratibu za JF,unapata ban ya ukubwa fulani.. Kidogo mngekuwa na mantiki...
 
Hata hlo pia twaweza kulijadili.
 
Last edited by a moderator:
@ Nicas Mtei na HYGEIA bado sijawa convinced na reasons zenu mkitetea mjadala huu uendelee...

Back
Top Bottom