Ban kin Moon : Nchi za Afrika zisizuie haki za mashoga

mhondo

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
968
342
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka nchi za Afrika kutozuia haki za mashoga kwani ni ubaguzi wa kijinsia. Amesema hayo kwenye mkutano wa AU ulioanza uko Ethiopia. JK ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria mkutano huo.
Source : TBC1 habari ya saa 2 usiku.
 
Je inawezekana msimamo wake ni miongoni mwa sababu zilizomfanya Dr. Asha Rose Migiro kuomba kujiuzulu nafasi ya u-naibu Katibu Mkuu wa UN?. Maana msimamo huo ni kinyume na msimamo wa nchi ya Tanzania.
 
..nimeiona hii...ingawa ninahis kama kuna kitu mimi sikielewi kuhusu hii agenda
 
huyo ban atakuwa ameambiwa na US na Uk agusie sulala la ushoga, hii ni ajabu sana, tunapokwenda huku si kuzuri inabidi kuwa na msimamo thabiti na watuelewe hivyo.
 
Jamani UN ni sehemu ya New Word Order agendas!! Kama YESU miaka 2000 alisema mwisho umekaribia...sasa je? si ni kama mwanamke yu katika uchungu wa kuzaa...........
 
Jamani UN ni sehemu ya New Word Order agendas!! Kama YESU miaka 2000 alisema mwisho umekaribia...sasa je? si ni kama mwanamke yu katika uchungu wa kuzaa...........

Inaonekana tunakoelekea siyo kuzuri. "Haki za binadamu" zinaelekea kupingana na "haki za Mungu".
 
Hawa jamaa walianza kutu-cameroon kwenye ardhi zetu,walitutawala.
Wakaendelea na bado wanaendelea kuti-cameroon katika mfumo wa kiuchumi na fedha.

Hawajatosheka, sasa wanakuja mwilini.

Waafrika tulikubali hawa jamaa wamsulubu Gadaffi ambaye alishapanga mpango wa kuanzisha mfumo wa fedha na kimabenki wa Afrika....sasa tuna kazi moja ya kuchukua uamuzi mgumu au itatubidi kama ilivyo kawaida tutii amri.
 
Kuna ubaguzi ambao umewekwa na 'NATURE' si rahisi kuuondoa,ina maana kwenye taasisi anayoiongoza 'msalani' wanashare she/he kama kila jinsi ina mlango wake,huo pia ni ubaguzi. Hata dress code ni ubaguzi, vitu vingi vipo twaviona vya kawaida lakini vinakera wengine, basi uhuru uwepo kwa kila mtu na kila jambo,MADAWA YA KULEVYA NI HIARI YA MTU YARUHUSIWE,kuwakamata na kuwafunga wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya ni UBAGUZI PIA, [JFMP3]kwa nini USHOGA TU ndo upigiwe kelele za kuruhusiwa[/JFMP3] 'USHOGA NI UHALIFU DHIDI YA UBINADAMU'
 
United Nation hawana mamlaka yakupinga lolote linaloamuliwaliwa na USA pamoja na UK hawa ndio wameshika ulimwengu! Kumbuka pale UN walipokemea kuvamiwa kwa Irak utawala wa Bush ulikaidi na wakaenda Irak wakaiharibu nchi ya watu kwakigezo chakudai kua Saddam Hussein ana silaha za maangamizi lakini alikaidi hao ndio wababe wa dunia.
 
Back
Top Bottom