Ban Ki-moon congratulates JK, Tanzanians for peaceful polls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ban Ki-moon congratulates JK, Tanzanians for peaceful polls

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by venividivici, Nov 8, 2010.

 1. v

  venividivici Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 30, 2006
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ban congratulates JK, Tanzanians for peaceful polls
  By The guardian reporter  8th November 2010

  [​IMG]
  United Nations Secretary-General Ban Ki-moon


  United Nations Secretary-General Ban Ki-moon has congratulated President Jakaya Kikwete and all Tanzanians for the peaceful 2010 General Election.
  In his message, Ban Ki-moon said: “Mr. President, allow me to take this opportunity to congratulate your government, people of Tanzania and the National Electoral Commission (NEC) and Zanzibar Electoral Commission (ZEC) for concluding General election which was well prepared and conducted in peaceful and transparent environment.”

  The UN Chief commended electoral authorities, the parties and political leaders who "demonstrated in these elections their commitment to peace and democracy”.
  Ban Ki Moon assured President Kikwete of his support and cooperation and that the UN will continue to work closely with Tanzania in ensuring that objectives of the UN are met for the benefit and development of Tanzanians.

  Meanwhile Norwegian Prime Minister Jens Stoltenberg has congratulated President Kikwete on his re-election as President of Tanzania.
  In a statement availed to this paper yesterday from the Norwegian embassy and signed by Veslemøy Lothe Salvesen, Embassy Secretary (Political affairs and Communication), the president said: “ I would also like to commend the peaceful manner in which the elections were conducted. Through this process Tanzania has consolidated its democracy, says Norwegian Prime Minister Jens Stoltenberg.”

  The PM has also congratulated the new political leaders of Zanzibar.
  “We look forward to working closely with the Government of National Unity. I believe that this government will serve all Zanzibaris well and ensure peace and stability for Zanzibar and for the Union,” the Prime Minister said.

  Norway commended the Tanzanian people for the dignified and disciplined manner in which they have continued to embrace democracy.
  “At the same time Norway takes note of the concerns raised by international election observers and trusts that these concerns will be addressed in the right manner by the government authorities,” he said.

  President Kikwete won by 61.17 percent and was worn in on Saturday to serve his second and last term.  SOURCE: THE GUARDIAN

  ----
  Mungu Ibariki Tanzania.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Hii post itakudodea baba. hakuna atakayechangia.

  No UWT here.
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ban Ki-moon ana heshima fulani kwa Tanzania kutokana na kuwa msitali wa mbele katika kumpigia debe kukwaa kile kigoda cha umoja wa mataifa, inawezekana ikawa ni sababu mojawapo iliyopelekea kumchagua dada yetu Rose kuwa msaidizi wake.

  Hata hivyo katika salamu za Ban hazikumpongeza Kikwete kwa kuchaguliwa na wanachi wa Tanzania kuiongoza nchi hii tena; salamu hizo ni za kuwapongeza wananchi wa Tanzania kufanya uchaguzi kwa amani kwa sababu kama tungevurugana, angejikuta ana kibarua cha kutafuta amani. Tumekaa kimya hata pale ambapo tumeibiwa kura zetu waziwazi, kwa hiyo ni kitendo kilichomrahishia sana kazi yake ingawa anajua kuwa kwa jinsi uchaguzi ulivyosimaiwea matukio kamaya Kenya na Zimbabwe yangeweza kutokea na kuvuruga amani. Huoni katika wageni waalikuwa wa Kikwete walikuwamo mafundi wakuu wa kuchakachua: Mugabe na Kibaki. Kikwete alichanganya staili zao: kuchelewesha matokeo kama alivyofanya Mugabe, na kuapishwa haraka bila kuruhusu utaratibu mwingine wowote wa kuangalia ukweli wa kura hizo kama alivyofanya Kibaki.
   
 4. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UN - UNintelligent.
   
 5. v

  venividivici Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 30, 2006
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ng'wanagwa - Kinehe ng'wanawane ulimhola ? Angalia, mbona unasemea wengine, unaridhaa yao ? , Hivi kumbe wewe post ili watu wa changie tu? is that the only option ? kama hujatambua bado, Unafikra tofauti na mimi and thats OK vilevile. Sitafuti sifa humu kama wewe naandika inapobidi tu... nipo humu siku nyingi sana. Napenda maendeleo ya nchi si shabikii chama wala mtu (Independent) na ninajitahidi kutomkwaza. Ya gagalaga nkoyi - Karibu ukubini.
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako ni lugha haipandi, ndo maana hukuelewa. tafuta mtu akutafsirie kwa kiswahili ndo utaelewa kilichoandikwa.
   
 7. October

  October JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  He is himself under fire for not performing!!
  No wonder he is congratulating him!!!
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Wewe ndiwe unagongwa na kiingereza, na naweza kuelewa kwa vile huenda umesoma miaka ya hivi karibuni kwenye shule za kata; nitakusaidia uelewe kilichosemwa na Ki-Moon:

  Tafsiri ya maneno hayo ni hii hapa:

  Bwana Rais, niruhusu nitumie nafasi hii kuipongeza serikali yako, watu wa Tanzania na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kwa kumaliza Uchaguzi Mkuu ambao ulikuwa umeandaliwa vizuri na kufanyika katika mazingira ya amani na uwazi.

  Hajasema kuwa anampongeza kwa kuchaguliwa na watu wa Tanzania kuendelea kuwa Rais katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
   
Loading...