Bamaga:pale ni sinza,mwenge au kijitonyama?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,430
2,000
Mwenge ni jina la kijiji cha ujamaa cha mfano enzi za Mwalimu... kimezungukwa Barabara ya Ally Hassan Mwinyi Shekilango na ile ya TRA na Sam Nujoma kule kituoni... Ni jimbo la Magamba Iddi Azan... Pale ni Kijitonyama... Sinza inaanzia Mori Mtaa wa kuelekea Meeda na Kule Wanyama hotel ndio mpaka wa Sinza na Kijitonyama...Mfano Hotel ya WANYAMA ipo Sinza ila J'burg Hotel ya MDAKU MKUU SHIGONGO!ipo Kijitonyama... Meeda ipo Sinza ila Soccer City ipo Kijitonyama ...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom