Balozi zetu nje zinamwakilisha nani? Tanzania na watu wake au CCM?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Balozi zetu nje zinamwakilisha nani? Tanzania na watu wake au CCM? Je, Watanzania walio nje ni CCM tu? Kwani nini mawasiliano ya CCM yako kwenye tovuti ya Ubalozi wa Tanzania-UK? Si ndio serikali kubagua watu wake kiitikadi za vyama? Nini maana ya Mawasiliano ya CCM hapo na Diplomasia ya Uchumi?
 
Ungekuta taarifa za ACT au CHADEMA , ungelalamika hivi au ungechekelea hadi wazungu wanavijua hivyo vyama? Tatizo ninaloliona kwako sio taarifa ila ni CCM. Haijalishi ni CCM ila kwa kuwa ni taarifa zinazohusu watanzania basi kila mtu ana haki ya kuzipata na kuzisikia
 
Wacha ujinga wewe wa kutaka kubadili alichokiandika mleta mada. Mabalozi ni wawakilishi wa Watanzania wote. Huwezi ukakuta kwenye balozi ya USA mambo ya chama cha Democrats au Republicans bali ni Wamarekani wote bila ubaguzi wa aina yeyote ile.

ungekuta taarifa za ACT au CHADEMA , ungelalamika hivi au ungechekelea hadi wazungu wanavijua hivyo vyama? Tatizo ninaloliona kwako sio taarifa ila ni CCM. Haijalishi ni CCM ila kwa kuwa ni taarifa zinazohusu watanzania basi kila mtu ana haki ya kuzipata na kuzisikia
 
Sasa ndo takataka gani hii ulioandika hapa. Yani wewe unaona ni sahihi kabisa watu wengine ni marambuza kabisa.
ungekuta taarifa za ACT au CHADEMA , ungelalamika hivi au ungechekelea hadi wazungu wanavijua hivyo vyama? Tatizo ninaloliona kwako sio taarifa ila ni CCM. Haijalishi ni CCM ila kwa kuwa ni taarifa zinazohusu watanzania basi kila mtu ana haki ya kuzipata na kuzisikia
 
Kwa jinsi hio basi jua mabalozi wote pia ni makada, kama vipi tumuombe Bob chacha apeleke shauri mahakamani mabalozi wasiwe makada wa chama flani kama ilivyo kwa sasa!?
 
Wacha ujinga wewe wa kutaka kubadili alichokiandika mleta mada. Mabalozi ni wawakilishi wa Watanzania wote. Huwezi ukakuta kwenye balozi ya USA mambo ya chama cha Democrats au Republicans bali ni Wamarekani wote bila ubaguzi wa aina yeyote ile.
🙋
 
Tumia akili unapojibu hoja zenye akili. Majibu ya kipumbavu ndio husababisha wana@ccm wote waonekane ni wapumbavu.
Hoja ijibiwê kwa hoja sio viroja
ungekuta taarifa za ACT au CHADEMA , ungelalamika hivi au ungechekelea hadi wazungu wanavijua hivyo vyama? Tatizo ninaloliona kwako sio taarifa ila ni CCM. Haijalishi ni CCM ila kwa kuwa ni taarifa zinazohusu watanzania basi kila mtu ana haki ya kuzipata na kuzisikia
 
Wacha ujinga wewe wa kutaka kubadili alichokiandika mleta mada. Mabalozi ni wawakilishi wa Watanzania wote. Huwezi ukakuta kwenye balozi ya USA mambo ya chama cha Democrats au Republicans bali ni Wamarekani wote bila ubaguzi wa aina yeyote ile.
Hii tabia mtaacha lini? kwa nini kila kitu mnafananisha na marekani? kwani tanzania ni koloni la marekani kusema kwamba kila marekani anachofanya lazima tanzania ifanye? Tanzania ni nchi huru, tuna utaratibu wetu wa kujiongoza na kujitawala hivyo chochote tunachofanya ni maslahi ya tanzania. taarifa za CCM ni za tanzania
 
Tumia akili unapojibu hoja zenye akili. Majibu ya kipumbavu ndio husababisha wana@ccm wote waonekane ni wapumbavu.
Hoja ijibiwê kwa hoja sio viroja
angalia mjinga mwingine kaingia kwenye ujinga uleule usio na manufaa yeyote. Enyi wanaCHADEMA epukeni kumilikishana ujinga. nimemwambia mleta mada, tatizo analoliona si Taarifa ila CCM.
 
Kwanini wewe hutaki ifananishwe na Marekani? Unataka tufananishe na Rwanda ambako mwaka 1994 kabila mbili tu za nchi hiyo kuuana hadi kufikia watu milioni?

Acha upumbavu wa kuogopa kufananishwa na Marekani kama wana mazuri hakuna ubaya wowote kuyaiga.

hii tabia mtaacha lini? kwa nini kila kitu mnafananisha na marekani? kwani tanzania ni koloni la marekani kusema kwamba kila marekani anachofanya lazima tanzania ifanye? Tanzania ni nchi huru, tuna utaratibu wetu wa kujiongoza na kujitawala hivyo chochote tunachofanya ni maslahi ya tanzania. taarifa za CCM ni za tanzania
 
Katiba inakataza ubaguzi wa rangi kabila dini na itikadi kwanini mnakanyaga katiba?
Unajua Mwl,alisema Nini juu ya kiongozi anayekanyaga katiba?
 
angalia mjinga mwingine kaingia kwenye ujinga uleule usio na manufaa yeyote. Enyi wanaCHADEMA epukeni kumilikishana ujinga. nimemwambia mleta mada, tatizo analoliona si Taarifa ila CCM.
Katiba ifuatwe,katiba inasema Nini?
 
Kwanini wewe hutaki ifananishwe na Marekani? Unataka tufananishe na Rwanda ambako mwaka 1994 kabila mbili tu za nchi hiyo kuuana hadi kufikia watu milioni?

Acha upumbavu wa kuogopa kufananishwa na Marekani kama wana mazuri hakuna ubaya wowote kuyaiga.
Nimesema inahitaji kufafanishwa na Rwanda ? Jaribu kuistiri akili yako kama umeshindwa kuusitiri mwili wako. Mimi ninachotaka ni kufanya kitu tofauti na Marekani na huo ubalozi wamefanya hivyo kwa kuweka taarifa za CCM kwenye tovuti kitu ambacho marekani bado hawajafanya. Inawezekana hawajafanya kwa sababu hawakijui ila wakikijua wataanza kufanya.
 
Sasa kwanini ung’ake inapofananishwa na USA? Acha uzwazwa wa kuogopa kuiga mazuri ya Taifa lolote lile duniani ili kuendelea kukumbatia maovu ya huyo dikteta, nduli na muuaji wa Ikulu.

nimesema inahitaji kufafanishwa na Rwanda ? Jaribu kuistiri akili yako kama umeshindwa kuusitiri mwili wako. Mimi ninachotaka ni kufanya kitu tofauti na Marekani na huo ubalozi wamefanya hivyo kwa kuweka taarifa za CCM kwenye tovuti kitu ambacho marekani bado hawajafanya. inawezekana hawajafanya kwa sababu hawakijui ila wakikijua wataanza kufanya.
 
Back
Top Bottom