Balozi wetu huko USA mbona anaonekana ni Mlevi sana!

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
46,682
71,029
Wakuu baada ya kuangalia vile vipindi vya VOA kuna kitu nimekuona kwa kutumia jicho langu la tatu,nikashangaa sana sana.

Balozi alionekana Anawasiwasi huku dhahiri sura yake ikionesha kama kagonga Glass,pia mashavu yake na Ule mustachi ambao haukufanyiwa Trimming haukufua Dafu kwa kwa
Crew cut ya Tundu Atipass Mugwai Lissu.
😁😁😁😁😁😁😊😊
 
Ulevi wake unakuhusu nini bwana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna watumishi wanakunywa hapa nchini?huo si ni mshahara wake tayari sasa akiunywea anakosa gani siyo muongee tu kwa kuwa mko hai hata vichaa wanaongea yao kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masilingi kamuweza Lissu,hasira mnahamishia kwake
Alielewa ni tundu lissu,kaulizwa kuna kiongozi yoyote alikuja kukuona hospitali?kajibu hakuna wala Rais hakutoa tamko lolote!
Ni dhahiri lissu alizidiwa na mvinyo
 
Eti Mimi kaka yako ..... Balozi wa hovyo kabisa

Badala apambane na hoja anasema yeye ni senior!!!!! Sasa jibu hoja masilingi we kilaza nini
 
Back
Top Bottom