09 February 2021
Harare, Zimbabwe
Balozi wa Zimbabwe nchini Mozambique apoteza uhai kwa Covid-19
(Video : courtesy of pixie pearls)
Kamanda mwingine aliyeshiriki kumungoa Robert Mugabe afariki kwa matatizo ya kupumua yaliyoletwa na ugonjwa wa Covid-19 akiwa likizoni mjini Harare.
Meja-Jenerali mstaafu Douglas Nyikayaramba amekuwa jenerali wa 4 katika genge la maofisa wa jeshi wa juu waandamizi wa jeshi la Zimbabwe walioshiriki ktk njama za kumuondoa Rais Robert Mugabe mwaka 2017 kupoteza uhai kwa gonjwa la Covid-19.
Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Zimbabwe, George Charamba ametoa habari hiyo ya huzuni kupitia ktk mtandao wa twitter na kusema " Nimestushwa kupata taarifa ya kufariki kwa Major General mstaafu Nyikayaramba, balozi wetu nchini Mozambique. Tumempoteza kwa Covid-19 . Kwa mara nyingine tunampoteza mwanadiplomasia, kamanda, veterani wa vita na mzalendo" mwisho wa kumnukuu msemaji wa Ikulu.
Wanajeshi maofisa wa jeshi waandamizi wengine waliokuwamo ktk genge lililomuondoa Robert Mugabe kisha waliopoteza uhai kwa gonjwa hili jipya ni pamoja na waziri wa mambo ya nje Sibusiso Moyo, waziri wa kilimo Perrance Shiri na mkuu wa magereza Paradzai Zimondi.
Kama ilivyokuwa kwa Moyo na Shiri, Nyikayaramba alistaafu kutoka utumishi jeshini na kupewa nyadhifa za kiuraia serikalini kama hisani baada ya kufanikisha Rais Emmerson Mnangagwa kuingia madarakani.
Wengine waliopewa nafasi serikali baada ya kufanikisha mapinduzi ni makamu wa Rais Jenerali mstaafu Constatino Chiwenga, Brig-General Anselm Sanyatwe kinara wa mapinduzi ya kutoa Robert Mugabe, sasa ni balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania.
February 9, 2021
Harare, Zimbabwe
Nyikayaramba, 64, was on leave when he died in Harare, becoming the fourth military general to lead the 2017 putsch against the late Robert Mugabe to succumb to the virus.
Presidency spokesperson George Charamba announced on Twitter: “I’m gutted to learn of the demise of Major General (Rtd) Nyikayaramba, our ambassador to the Republic of Mozambique. We have lost him to Covid-19. Yet another diplomat, commander, war veteran and patriot falls!”
Other military coup conspirators to die during the pandemic are foreign affairs minister Sibusiso Moyo, agriculture minister Perrance Shiri and former prisons boss Paradzai Zimondi.
Like Moyo and Shiri, Nyikayaramba retired from active military service to take up civilian roles in the government as part of the spoils of the role played by the military in helping President Emmerson Mnangagwa into office.
Source : Zimbabwe’s ambassador to Mozambique succumbs to Covid-19
Harare, Zimbabwe
Balozi wa Zimbabwe nchini Mozambique apoteza uhai kwa Covid-19
(Video : courtesy of pixie pearls)
Kamanda mwingine aliyeshiriki kumungoa Robert Mugabe afariki kwa matatizo ya kupumua yaliyoletwa na ugonjwa wa Covid-19 akiwa likizoni mjini Harare.
Meja-Jenerali mstaafu Douglas Nyikayaramba amekuwa jenerali wa 4 katika genge la maofisa wa jeshi wa juu waandamizi wa jeshi la Zimbabwe walioshiriki ktk njama za kumuondoa Rais Robert Mugabe mwaka 2017 kupoteza uhai kwa gonjwa la Covid-19.
Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Zimbabwe, George Charamba ametoa habari hiyo ya huzuni kupitia ktk mtandao wa twitter na kusema " Nimestushwa kupata taarifa ya kufariki kwa Major General mstaafu Nyikayaramba, balozi wetu nchini Mozambique. Tumempoteza kwa Covid-19 . Kwa mara nyingine tunampoteza mwanadiplomasia, kamanda, veterani wa vita na mzalendo" mwisho wa kumnukuu msemaji wa Ikulu.
Wanajeshi maofisa wa jeshi waandamizi wengine waliokuwamo ktk genge lililomuondoa Robert Mugabe kisha waliopoteza uhai kwa gonjwa hili jipya ni pamoja na waziri wa mambo ya nje Sibusiso Moyo, waziri wa kilimo Perrance Shiri na mkuu wa magereza Paradzai Zimondi.
Kama ilivyokuwa kwa Moyo na Shiri, Nyikayaramba alistaafu kutoka utumishi jeshini na kupewa nyadhifa za kiuraia serikalini kama hisani baada ya kufanikisha Rais Emmerson Mnangagwa kuingia madarakani.
Wengine waliopewa nafasi serikali baada ya kufanikisha mapinduzi ni makamu wa Rais Jenerali mstaafu Constatino Chiwenga, Brig-General Anselm Sanyatwe kinara wa mapinduzi ya kutoa Robert Mugabe, sasa ni balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania.
Zimbabwe’s foreign minister dies from Covid-19.
Zimbabwe’s foreign minister dies from Covid-19. (Published 2021)
www.nytimes.com
Zimbabwe’s foreign affairs minister and retired military Maj-Gen Sibusiso Moyo is the country's third government minister
February 9, 2021
Harare, Zimbabwe
Zimbabwe’s ambassador to Mozambique succumbs to Covid-19
Zimbabwe’s ambassador to Mozambique, retired Maj-Gen Douglas Nyikayaramba, has died of Covid-19 complications.Nyikayaramba, 64, was on leave when he died in Harare, becoming the fourth military general to lead the 2017 putsch against the late Robert Mugabe to succumb to the virus.