Balozi wa Uturuki anusurika kufa huko Urusi

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,068
Balozi Turkey alivyoponea chupuchupu kuvunjwa kichwa. Mpigaji naona hakuzipanga vyema karata zake. Alijaribu kufyatua huku bastola ikiwa kwenye safe akashindwa kutekeleza nia yake. Nu huko mjini Moscow Russia.

Inasemekana ni tukio la kitambo kidogo

Kumbe haya mambo wameanza muda kuviziana
 
Ebana eeh duuu Juzi wa Russia kauwawa leo wa Uturuki kakoswa koswa ,haya yote yana uhusiano na kauli ya Obama kwamba Putin aliingilia uchaguzi wao ?

Kuna kitu sikielewi hapa
 
Balozi Turkey alivyoponea chupuchupu kuvunjwa kichwa. Mpigaji naona hakuzipanga vyema karata zake. Alijaribu kufyatua huku bastola ikiwa kwenye safe akashindwa kutekeleza nia yake. Nu huko mjini Moscow Russia.

Sasa sijui ndiyo kusema urusi nao wanataka kulipiza kisasi cha kupigwa risasi balozi wao au ndiyo mwendelezo wa hii cinema yao .

Najiuliza maswal hiv huyo kama alipanga kumpiga risasi alishindwa vip kuandaa hiyo bastola yake iwe tayar kwa tukio

Na swal jingine amewazaje kuwapita walinzi ambao wanaonekana walikuwa karibu bila kufanyiwa ukaguzi

Haya matukio mawili ya kule uturuki na hili la huko Russia yana maswal mengi ya kujiuliza

Hii habari ya zamani Sana.
Wacha kuunganisha matukio
 
Kama sijakosea hilo tukio ni la kitambo kidogo kabla hata balozi wa russia hajauliwa!Au ungetupa source ya habari yako ili tujue ilitokea lini.
 
Back
Top Bottom