Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke asema wanaendelea kufuatilia kesi ya Erick Kabendera

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,319
Anaandika Sarah Cooke,Balozi wa Uingereza nchini kupitia mtandao wa twitter:

We continue to follow the case of Erick Kabendera. Due process is a right for all citizens and guaranteeing that right is an obligation for all governments.

Mwisho kamalizia na hashtag ya free Erick Kabendera.

US.PNG
 
Weka chanzo hapa ndiyo niamini, kwamba aliongelea wapi na hiyo ni official statement ya Balozi isijekuwa una hangover ya mbege.

Chanzo weka!
 
Ahahahaaaa watachonga sana,na huyo dogo inatikiwa apotezwe tu ili watafute kahaba mwingine wamlipe tena awaandikie uchafu wao.
 
Jiwe kakalia kuti kavu, muda si mrefu anakaangwa na mabeberu wameshapata sababu, tena wafanye haraka wanamchelewesha.
 
Ni vizuri sana afuatilie kesi ya kijana wao kwani mahakama lazima itatenda haki kwa kunfunga jela kwa sheria za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mika 30 kama mbakaji yaani.
 
Back
Top Bottom