Balozi wa Tanzania nchini Marekani anaidanganya dunia

with due respect ambassador mwanaidi maajar:

I had a chance to listen to jamii production interview with hon. Mwanaid maajar, the tanzanian diplomat in the usa. With due respect, i beg to disagree with her in some aspects. Ms. Majaar seems to endorse the evils and unethical acts of the government of ccm and jakaya mrisho kikwete. She has stated that, tanzania is good in dealing against corruption yet she is aware of richmond, epa, and how does the government gives (privatizes) land to the foreigners leaving constituents with nothing and enslaved. She claims that the government has good governance, poor balozi majaar- shame on you! Do you understand what’s good governance? It is the rule of law; transparency, accountability, equity and inclusiveness… name it. Moreover, she states that, the economy of tanzania has significant grown; yet we are among of the poorest countries in the world. Tanzania economy: (facts are, the economic growth has failed to impact those who make up 80 percent of the country’s (mostly rural) population and there are no improvements in public healthy, social services, illiteracy, nor equality in income distribution). Mh. Majaar, do you know what you are talking about? Lastly, she denies the studies, which were done by the professor from university of california (mr. Tom) about corruption, lack of security etc in tanzania. She asserts that, the professor’s facts are old, not reliable and he never been in tanzania. Thank you bandio for fact check her. You let her know that the professor was there in 2003. Very good with this one mubelwa bandio. Ms. Ambassador, please represent the interest of each and every tanzanians regardless their ideology, not the individuals who are corrupt, liars, thieves and trying to be above the law.

further she tried to criticize opposition parties on the mtwara and lindi gas saga. Honest, i only saw hon. Majaar running her mouth but nothing coming out. She has no cruel man. She doesn't even understand what did the minister and president said about the gas. She ended up saying tuna ikata nchi vipande vipande. Ms. Ambossodar, you are not politician, you are diplomat and have no idea, no cruel on what's going on. Do your homework my ambassodar.


thank you ms. Ambassador


<font size="3"><span style="font-family:times new roman;">

source: Chadema diaspora page;
http://www.facebook.com/chademadiaspora?ref=ts&fref=ts



kwani hakuna utawala bora,mapambano dhidi ya rushwa si yanaendelea na yanamafanikio makubwa.... Au unataka hadi ulizishwe wewe????,, kweli 2015 povu litawatoka sana ..wenzenu wanaendelea na kumalizia ilani yao
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli huu ni ujinga,mimi ni mwana-CDM,lakini siungi mkono ujinga huu, tunashabikia kuwa nchi yetu izungumzwe vibaya kimataifa,ili iwe nini? ulimbukeni huo? Kazi ya balozi ni kuitangaza vizuri nchi yetu kimataifa,sasa tunataka aiponde nchi yetu,shem on you! ujinga huo!
 
Kwakweli huu ni ujinga,mimi ni mwana-CDM,lakini siungi mkono ujinga huu, tunashabikia kuwa nchi yetu izungumzwe vibaya kimataifa,ili iwe nini? ulimbukeni huo? Kazi ya balozi ni kuitangaza vizuri nchi yetu kimataifa,sasa tunataka aiponde nchi yetu,shem on you! ujinga huo!
Use your brain and not your heart. Kama kuna mabaya na ufisadi unaoendelea bongo basi unataka Tanzania izungumzwe vizuri kwa faida ya nani? Kinyesi ni kinyesi tu na kitabaki kuwa kinyesi so huna haja ya kukiita kinyesi eti ni keki.
 
huyo mama nikimwangalia tu huwa nakumbuka mkataba wa Dowans a.k.a Richmond, kwasababu yeye akiwa Rex attorneys ndio waliokuwa mawakili wao, kilivyonuka tu akakimbizwa kuwa balozi wa uingereza, can you imagine, from being wakili wa kujitegemea hadi balozi wa nchi kubwa kama ile....sasaivi yuko USA. anakula bata tu hadi tusahau mkataba ule.
 
Kweli uso wa mbuzi! Kwanini unalazimisha kutumia lugha ambayo huimudu? Kweli bado tuna safari ndefu kufikia uhuru wa fikra! Napita nitarudi baadae.
Mkubwa achana na utumwa wa kifikra, mleta mada kwa kiasi kikubwa ameeleweka kimaudhui nini lugha, tatizo lenu hata masuala muhimu ya kitaifa mnaleta siasa zenu za kimagamba, ila samahan mkubwa mie mpita njia tu
,
 
ukitazama vizuri habari hiyo imetolewa katika uzi wa Chadema.
Toka lini Chadema akaisifu CCM?
 
Regardless a few grammatical errors, at least the message is white!
Wonders shall never end; even the prezdaa know NOT why Tanzanians are Poor: so pathetic indeed!

Kweli uso wa mbuzi! Kwanini unalazimisha kutumia lugha ambayo huimudu? Kweli bado tuna safari ndefu kufikia uhuru wa fikra! Napita nitarudi baadae.
 
Huyu mama balozi si ni mmoja wa waanzilishi wa CHADEMA?

Hata kama kuna mapungufu, huyu mama amefanya kazi yake vizuri sana kama balozi na pia ana uwezo mkubwa sana.
 
Kweli uso wa mbuzi! Kwanini unalazimisha kutumia lugha ambayo huimudu? Kweli bado tuna safari ndefu kufikia uhuru wa fikra! Napita nitarudi baadae.

hata wenye nayo hawaimudu kwani kilichokuuma hapo ni nini?
 
Bambo, usichoelewa lugha ua kitu gani. Binafsi nimeelewa ujumbe. Kuna hiki kitu kizuri sana kina itwa dictionary unaweza kuwa unakitumia sometimes.

kweli umempa shua maana anatufanya tusijadili habari husika badala yake tunajadili ----- wake
 
Kweli uso wa mbuzi! Kwanini unalazimisha kutumia lugha ambayo huimudu? Kweli bado tuna safari ndefu kufikia uhuru wa fikra! Napita nitarudi baadae.

Acha uongo ndugu mbona story ipo crystal clear, hata haya hukuelewa?: Further she tried to criticize opposition parties on the mtwara and Lindi GAS saga. Honest, I only saw Hon. Majaar running her mouth but nothing coming out. She has no cruel man. She doesn't even understand what did the minister and president said about the gas. She ended up saying tuna ikata nchi vipande vipande,
 
Nadhani huyu mama anatetea ugali wake ila moyoni ukweli anaujua sema ndo ivo mabosi wake afanye je?
 
Kamanda, pole kwa kukujibu late. Huyu mama nimeanza kumsikia toka yupo UK. Kabla ya hapo nilikuwa simjui, lakini n imejifunza mengi kuhusu yeye kutoka kwenye hii post. Nime learn kuwa yupo linked na mikataba ya EPA na Richmond yeye akiwa kama mwanasheria. Hii imenifanya nielewe wazi kwa nini anatetea rushwa sna.
uso wa mbuzi Mwenye historia kamili ya huyu mwanadiplomasia anieleze jamani maana ni miongoni mwa watu wa CCM naetaka kujua alifikefikeje hapo alipo na huko nyuma alikuwa anajishughulisha na nini hasa.Maana mimi nilianza kumskia mwaka 2006 hapo nyuma sikuwahi kumsikia mahali popote katika Tanzania yetu.

Please mwenye kumjua vizuri huyu mama alete habari kamili ili tujue tunachangia kwa mtu mwenye uelewa wa kiasi gani
 
Kamanda, pole kwa kukujibu late. Huyu mama nimeanza kumsikia toka yupo UK. Kabla ya hapo nilikuwa simjui, lakini n imejifunza mengi kuhusu yeye kutoka kwenye hii post. Nime learn kuwa yupo linked na mikataba ya EPA na Richmond yeye akiwa kama mwanasheria. Hii imenifanya nielewe wazi kwa nini anatetea rushwa sna.

Kuhusu Richmond ni sawa lakini EPA siyo sawa, hajawahi kufanya kazi IMMMA kampuni ya Lau Masha and others iliyohusika kusajili makampuni hewa yaliyotumika kuchota hela za EPA mfano Deep Green, naona kuwa watu wanachanganya mambo hapa..
 
Back
Top Bottom